Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

Hili nabisha mkuu kwa sababu sio mjadala wa kujadili na kupasishwa bungeni au mahakamani bali ni Dini hii

Na dini ya kiislam ili kuwa na uhakika na kitu huwa hatubishani bali kuna Aya, hadithi na vitabu pia
Naomba unisaidie ni nani aliesema kwenye Uislam mtoto wa nje ana haki sawa na aliezaliwa kwenye ndoa
Huenda una ilmu kutuzidi humu
Asante
Ungeleta hiyo Aya inayosema mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kuridhi mali ungekuw upo sawa au leta hiyo hadithi ambayo inathibitisha hayo madai yako
 
Ungeleta hiyo Aya inayosema mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kuridhi mali ungekuw upo sawa au leta hiyo hadithi ambayo inathibitisha hayo madai yako
Mkuu hiyo post yangu sikuandika kutoka kichwani bali ndio mafundisho ya uislam
Kama wewe sio muislam basi utabisha zaidi kwa sababu naona hujui majibu ndio maana unaniuliza tena nithibitishe kwa hadithi
Anyway unaweza kujisomea popote au kuuliza wengine ila mimi siwezi kujibishani kwa majibu yaliyo wazi
Uwe na siku njema boss
 
Hakuna mafundisho ya Islam yanayosema mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kuridhi mali za baba yake.na ndio maana nikakuambia utoa aya ama hadithi inayothibitisha jambo hilo.kwenye.Kwa hiyo unachokisema ww sio mafundisho ya Islam,mafundisho ya Islam yanatokana na kitqbu cha Qurani pamoja na hadithi Sasa ili madai yako yawe sahihi unalazimika kutoa Aya inayothibitisha madai yako.kama huna basi hizo ni porojo za mtaani
 
DINI ni hatari sana aisee

Maafa yametokea sana hapa duniani in the name of God and religion

Regardless,kuzaa watoto nje ni tatizo kama mtu unaweza liepuka liepuke tu kama huwezi kaa tayari kubeba consequences

Na wakati wa kubeba concequences usianze kulia lia wala kuwauliza wanadamu wengine anything
 
Dini zote hazimtambui mtoto aliye patikana nje ya utalatibu wa dini zao Wawe waisilam, wakristo, wayahudi ,hata wahindu.
Hata kuserikali mtoto wa nje usipo mtambulisha kwa familia akajulikana na kuandika wosia juu yake siku ukifa atambulia patupu hakuna Sheria itakayo msaidia.

Wewe umesoma sheria ipi inayosema hivyo?
 
Back
Top Bottom