hatakiwi arithi mali ya babaZa wazazi wake kama baba ameacha 🇲🇱 ukiacha za ukoooooooo
mtoto wanje ni mtoto wa mamaMkuu kwa waislam
Wakristo nimeona kesi wanarithi mkuu
Kwa wakristo wanarithii mkuu bnafsi nilijua hawarithi chochte lakin nkakutana na judgement moja wamepewa kiasi kadhaa cha baba yaomtoto wanje ni mtoto wa mama
Sawa.Watoto wamtajiri leo wangekuwa masikini mkuu maliza babayako uwezikwepa kutafuta zako n kipaumbele
Mzazi afe aache biashara ati uniambie nikatafute changu chake anachukua nani
wakiristo nikama wanyama tu hawajitambuiKwa wakristo wanarithii mkuu bnafsi nilijua hawarithi chochte lakin nkakutana na judgement moja wamepewa kiasi kadhaa cha baba yao
Kwa waislam ndio wanaita haramu....else baba aandike mwenyewe kabla ajafa hii n mali ya mwanangu xxx
Wenu mwendazake
umeongea bila uelewa mkuu.unapichukia kitu bas jaribu ku research ujue kinasemaje! umerefer karne ya saba umeeleweka umelenga uislam ila nikikuuliza unajua mtoto wa nje anastahik kupata vipi sehem ya mal ya ababa yake unajua mkuu? bas turesarch kidogo japo chuki haifutiki.Andika wosia, urithi unatakiwa ugawanywe kulingana na utashi wa mwenye mali sio kwa maelekezo ya vitabu vya karne ya saba.
wajinga tuuNgoja wakusikie
M napita tu
Kweli kabisa mkuuuumeongea bila uelewa mkuu.unapichukia kitu bas jaribu ku research ujue kinasemaje! umerefer karne ya saba umeeleweka umelenga uislam ila nikikuuliza unajua mtoto wa nje anastahik kupata vipi sehem ya mal ya ababa yake unajua mkuu? bas turesarch kidogo japo chuki haifutiki.
kwneye islam mtoto wa nje ya ndoa akifa baba yake harithi.anachotakiwa baba huyu akiwa hai amtunze mtoto amsomeshe na ampe kabisa kitu miingon mwa vitu as long as akiwa hai. i stand to be correction. and god knows best
Watanzania wengi wanahisi wakiandika wosia ni sawa na kujitia mkosi wa kifo. Ndio maana issue hizi zinakuwa commonAndika wosia, urithi unatakiwa ugawanywe kulingana na utashi wa mwenye mali sio kwa maelekezo ya vitabu vya karne ya saba.