SureAndika wosia, urithi unatakiwa ugawanywe kulingana na utashi wa mwenye mali sio kwa maelekezo ya vitabu vya karne ya saba.
Ungeleta hiyo Aya inayosema mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kuridhi mali ungekuw upo sawa au leta hiyo hadithi ambayo inathibitisha hayo madai yakoHili nabisha mkuu kwa sababu sio mjadala wa kujadili na kupasishwa bungeni au mahakamani bali ni Dini hii
Na dini ya kiislam ili kuwa na uhakika na kitu huwa hatubishani bali kuna Aya, hadithi na vitabu pia
Naomba unisaidie ni nani aliesema kwenye Uislam mtoto wa nje ana haki sawa na aliezaliwa kwenye ndoa
Huenda una ilmu kutuzidi humu
Asante
Mkuu hiyo post yangu sikuandika kutoka kichwani bali ndio mafundisho ya uislamUngeleta hiyo Aya inayosema mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kuridhi mali ungekuw upo sawa au leta hiyo hadithi ambayo inathibitisha hayo madai yako
Hakuna mafundisho ya Islam yanayosema mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kuridhi mali za baba yake.na ndio maana nikakuambia utoa aya ama hadithi inayothibitisha jambo hilo.kwenye.Kwa hiyo unachokisema ww sio mafundisho ya Islam,mafundisho ya Islam yanatokana na kitqbu cha Qurani pamoja na hadithi Sasa ili madai yako yawe sahihi unalazimika kutoa Aya inayothibitisha madai yako.kama huna basi hizo ni porojo za mtaaniMkuu hiyo post yangu sikuandika kutoka kichwani bali ndio mafundisho ya uislam
Kama wewe sio muislam basi utabisha zaidi kwa sababu naona hujui majibu ndio maana unaniuliza tena nithibitishe kwa hadithi
Anyway unaweza kujisomea popote au kuuliza wengine ila mimi siwezi kujibishani kwa majibu yaliyo wazi
Uwe na siku njema boss
Dini zote hazimtambui mtoto aliye patikana nje ya utalatibu wa dini zao Wawe waisilam, wakristo, wayahudi ,hata wahindu.
Hata kuserikali mtoto wa nje usipo mtambulisha kwa familia akajulikana na kuandika wosia juu yake siku ukifa atambulia patupu hakuna Sheria itakayo msaidia.