TheMaster
Member
- Aug 10, 2023
- 63
- 136
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.
Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake
Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana
Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.