Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge Gambo mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto

Acha vijana wa 1982 wapelekeane moto. Hata dakika za mwisho za uhai wake JPM aliwashtukia na kutamka kuwa vijana wa 82 hawajatulia. Wote wawili wana siasa za kihuni kwa hiyo fresh tu wadhalilishane.
 
..wote wana tabia zinazofanana.

..Gambo alipokuwa RC alikuwa akidhalilisha wabunge.

..Makonda anaendeleza tabia yake ya kudhalilisha wabunge.
Anamdhalilisha vipi wakati kuna wafanyakazi amewatuhumu kwa uongo. Pia mwaka 2021/2022 alimtuhumu Mkurugenzi wa jiji la Arusha mpaka akafikishwa mahakamani lakini mahakama ikamwachia huru kwa tuhuma kukosa ushahidi. Sasa tena ameenda juzi bungeni ameibua issue nyingine uchunguzi umeonyesha tuhuma siyo za kweli mpaka akaomba msamaha Bungeni. Gambo ni mwongo sana siyo mkweli.
 
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.

View attachment 3316795
Siasa za ubunge hizo.

ChoiceVariable MamaSamia2025
 
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.

View attachment 3316795
Safari hii ninaungana na RC Makonda kwa anavyomfanyia Mbunge Gambo kwani Gambo ni Mnafiki na si Mkweli kabisa.
 
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.

View attachment 3316795
 
Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Vita ya ubunge Arusha mjini. Ila nitawashangaa sana Watu wa kaskazini mkimpa huyu mwehu wa daladala
 
Hata Gambo alikuwa anamfanyia hivyo Lema.
Alimnyanyasa sana sana, karma is real, he is just passing the same route, leo nimemuonea huruma, ni kama hiki anachofanya Makonda dhidi ya Gambo kina Baraka za wakubwa huko ccm.
 
..wote wana tabia zinazofanana.

..Gambo alipokuwa RC alikuwa akidhalilisha wabunge.

..Makonda anaendeleza tabia yake ya kudhalilisha wabunge.
Ni sahihi ila alikuwa akidhalilisha wa upande wa pili, kwenye hili chama kinasigana hadharani, wana ccm hatuvutiwi na hili kinachoendelea kati ya kamisaa wetu wa mkoa na mwakilishi wa wananchi
 
Ni haki kudhalilisha wa upande mwingine kisa una mamlaka? Mnaifumbia macho tabia chafu, ikiwadhuru mnajiliza. Kwamba wanaccm mnavutiwa wa upande wa pili wakishalilishwa? Vuneni mlichopa da. Na huo ni mwanzo tu.
 
Wakati wa vita hauchagui silaha, unapokea yoyote ile inayoweza kukupa ushindi, mbinu za medani hizo mkuu.
 
Ndio uzuri wa CCM wanaambiana waziwazi siyo Chadema mwachama akisema tu anaambiwa msaliti. Angalia G55 mnavyowatuhumu kwa usaliti.
Kwani hicho wanachofanya Gambo na Makonda wanaccm wote wanasupport? Ccm mnaambiana waziwazi toka lini, kama mnaambiana waziwazi, Mbona kwenye kampeni za Cdm Lisu akimpa ukweli wake Mbowe mlikuwa mnasema anamvua nguo mwenyekiti wake? Nyinyi si huwa mnasema ccm ina nidhamu migogoro yao wanamalizia kwenye vikao vya ndani?
 
Ni haki kudhalilisha wa upande mwingine kisa una mamlaka? Mnaifumbia macho tabia chafu, ikiwadhuru mnajiliza. Kwamba wanaccm mnavutiwa wa upande wa pili wakishalilishwa? Vuneni mlichopa da. Na huo ni mwanzo tu.
Tabia ya makonda ni chafu, hana hekima,adabu wala busara kifupi kama ingekuwa serikali inayo jali haki za watu hakupaswa kabisa kuwa hapo, ni anaye penda sana kujisafisha kwa kuchafua wengine ingawa gambo naye aliyafanya hayo lakini sio utaratibu mzuri wa kiuongozi na hasa kusigana mbele ya wananchi ambao wote mnawatumikia ni ujinga na utoto hata hao wanao msifia huwa nawaza wana uelewa gani
 
Ni sahihi ila alikuwa akidhalilisha wa upande wa pili, kwenye hili chama kinasigana hadharani, wana ccm hatuvutiwi na hili kinachoendelea kati ya kamisaa wetu wa mkoa na mwakilishi wa wananchi

..kati ya Makonda, na Gambo, kuna mmoja ana baraka za wakubwa, na mwingine hana.
 
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.

View attachment 3316795
Ulikuwa wapi Gambo(alipokuwa mkuu wa mkoa) alipomdhalilisha Godbless Lema (aliyekuwa mbunge )?👇👇👇👇👇

View: https://www.youtube.com/watch?v=J34wpkUmhDo&pp=ygUWR29kYmxlc3MgTGVtYSBuYSBHYW1ibw%3D%3D
 
Back
Top Bottom