Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge Gambo mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto

Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge Gambo mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto

Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.

View attachment 3316795
Mtu yoyote anayrpenda kudhalilisha watu ni mtu wa hovyo kabisa na hana akili hata kidogo
 
Anamdhalilisha vipi wakati kuna wafanyakazi amewatuhumu kwa uongo. Pia mwaka 2021/2022 alimtuhumu Mkurugenzi wa jiji la Arusha mpaka akafikishwa mahakamani lakini mahakama ikamwachia huru kwa tuhuma kukosa ushahidi. Sasa tena ameenda juzi bungeni ameibua issue nyingine uchunguzi umeonyesha tuhuma siyo za kweli mpaka akaomba msamaha Bungeni. Gambo ni mwongo sana siyo mkweli.

..hata Makonda naye ni muongo, mzandiki,na mfitini.

..unakumbuka alivyomzushia Freeman Mbowe tuhuma za madawa ya kulevya?

..unakumbuka Makonda alivyomzushia Mzee Lowassa kuwa na mtoto nje ya ndoa na kumtelekeza?

..unakumbuka jinsi Makonda alivyomzushia Mkurugenzi wa jiji la Dsm aliyekuwa mgonjwa kwa muda mrefu, na kupelekea kudhalilishwa na kufukuzwa kazi?

..unakumbuka Makonda alivyofanya hila na kupelekea Meya wa jiji la Dsm kunyang'anywa wadhifa wake?

..Katika mazingira ya kawaida Makonda na Gambo hawakupaswa kuwa katika nyadhifa zao. Nadhani nafasi zao zilipaswa kujazwa na vijana wenye potential, na wasio na tabia za hovyohovyo.
 
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.
Mapacha watatu na wote wako Arusha
  1. Makonda
  2. Gambo
  3. Sabaya
 
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.
Hiki kinachomkuta Mrisho Gambo kama Mbunge wa Arusha, kunyanyaswa na RC wa Arusha, Paul Makonda, ni malipo halali ya
Karma ya matendo yake alivyokuwa anamtendea Godbless Lema, wakati yeye akiwa RC wa Arusha, na Lema ni mbunge wa Arusha. Hii ni what goes around, comes around!, usimtendee mwenzio usichopenda kutendewa . Tembelea hapa uone Gambo anamfanya nini Lema!, Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika

P
 
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.

View attachment 3316795
Hii ni Karma,Gambo anavuna alichopanda wakati akiwa RC Arusha alimdhalilisha sana mbunge wa wakati huo Godbless Lema. Malipo ni hapa hapa duniani.
 

Attachments

  • FB_IMG_1616545580714.jpg
    FB_IMG_1616545580714.jpg
    90.9 KB · Views: 19
  • FB_IMG_1644236054901.jpg
    FB_IMG_1644236054901.jpg
    61.9 KB · Views: 20
  • FB_IMG_1644236040854.jpg
    FB_IMG_1644236040854.jpg
    15.8 KB · Views: 16
  • FB_IMG_1570958487510.jpg
    FB_IMG_1570958487510.jpg
    9.8 KB · Views: 16
  • JamiiForums2012770947.png
    JamiiForums2012770947.png
    68.8 KB · Views: 18
Hao ni watoto wa baba mmoja.
Huo ni ugomvi wa ndugu watajuana wenyewe!!!!!
RIP THE LATE PRESIDENT POMBE MAGUFULI. 😭😭😭😭😭😭😭
 
Ni ujinga mtupu Kwa muwakilishi wa Wananchi kutukanwa Bora angeondoka
Katukanwa wapi?Hajasema uongo Bungeni?Aliomba radhi kwa kosa gani?
Gambo ni narcissist asiyejua kuheshimu wengine.Ameharibu maisha ya watu wengi kwa majungu na fitina.Dr.Pima alikaa jela kwa fitina na majungu yake na baadaye akashinda rufaa yake baada ya Mahakama kumuachia huru.
Hata hili la jengo alizua uongo wa kuliwa pesa ili watu wasio na hatia wachafuliwe na kuchukuliwa hatua.Imem backfire na sasa aonewe huruma?Angepelekwa kwenye Kamati lakini akaamua kuomba radhi.Awaombe radhi aliyewatuhumu.
 
Hawa jamaa bhana nitoke home kwenda kusikiliza huo upuuzi ni bora nipumzike tu yeye kaacha kwenda kwa Wachungaji na Masheihk kutubu ila ajasema mpaka leo anatubu nini..
 
WOTE NI WATU WA OVYO TU NA WALA HAJACHAGULIWA NA WANANCHI

HAINA TIJA KWA MLALA HOI

TUNATAKA CHAGUZI HURU TUWEZI KUCHAGUA VIONGOZI WETU
 
Back
Top Bottom