Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge Gambo mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto

Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.

View attachment 3316795
Wameanza kuumbuana Makonda ni Kama Gambo tuu, Mungu na shetani havipatani!Wote ni wabaya kwa Matendo Yao!
 
Huyo Gambo amekuwa akidhalilisha sana watu hadharani akiwa mkuu wa wilaya na hata mkoa. Wakati ule aliona anafanya sawa. Sasa karma imemkuta kwa kukutana na mwenzie mwenye siasa za kipuuzi kama yeye. Isitoshe huyo si muwakilishi halali wa wananchi, bali aliingia mdarakani kwa ule uchaguzi wa kishenzi. Isitoshe alikuwa akimdhalilisha Mbunge Lema wakati akiwa muwakilishi halali wa wananchi, hivyo acha apate malipo yake.
Arusha Pana mkosi! Makonda na Gambo ni mfuniko na kopo, hakuna mwenye utu .
 
Anamdhalilisha vipi wakati kuna wafanyakazi amewatuhumu kwa uongo. Pia mwaka 2021/2022 alimtuhumu Mkurugenzi wa jiji la Arusha mpaka akafikishwa mahakamani lakini mahakama ikamwachia huru kwa tuhuma kukosa ushahidi. Sasa tena ameenda juzi bungeni ameibua issue nyingine uchunguzi umeonyesha tuhuma siyo za kweli mpaka akaomba msamaha Bungeni. Gambo ni mwongo sana siyo mkweli.
Linakula bange na kuamka na farujohn Nini!?
 
Makonda ndio alivyo,akiwa RC Dar si mnakumbuka alimsumbua Marehemu Ndungulile
Sio Ndugulile tuu hata aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji aliitwa Kabwe hadi Mzee wa watu akafa kwa pressure!Hawa jamaa nachukia Tabia zao kabisa!
 
..wote wana tabia zinazofanana.

..Gambo alipokuwa RC alikuwa akidhalilisha wabunge.

..Makonda anaendeleza tabia yake ya kudhalilisha wabunge.
Ninachojiuliza why Arusha mjini?? Gambo akiwa RC alihangaika sana na Mh Lema. Nakumbuka aliwahi kumtoa kwenye kikao na kwenda kuwekwa Lockup kwa amri yake. Hakuhangaika na wale Wabunge wa Karatu, Ngor, Monduli, Longido wala Arumeru Mashariki/Magharibi.

Makonda nae hapo hapo Mjini. Kuna nn pale Arusha Mjini?? Kafunga barabara kuwapa alichowapa pale pale mjini tu why not other places?? Na kama ni Ubunge kwanini ni pale mnini tu??

Wakazi wa Arusha Mjini amkeni msikubali wanasiasa uchwara kuja kuwafanya daraja la kuvukia kuelekea kwenye tamaa zao za madaraka. Mkuu wa Mkoa anaachia ngazi kisa Ubunge. Why??

Mkuu wa Mkoa anauliza: wewe ni Diwani wa wapi? Mimi ni Diwani wa Kata ya Lemara Mheshimiwa. Anauliza tena Lemara iko wapi? Hajui hata Lemara ilipo. Halafu eti anataka kugombea Ubunge. Lazima apatikane mtu sahihi mwenye kuifahamu vizuri jiografia ya Jiji la Arusha. Wapeleke tamaa zao kwingine.
 
Wote ni wapuuzi.
Huyo Gambo amekuwa akidhalilisha sana watu hadharani akiwa mkuu wa wilaya na hata mkoa. Wakati ule aliona anafanya sawa. Sasa karma imemkuta kwa kukutana na mwenzie mwenye siasa za kipuuzi kama yeye. Isitoshe huyo si muwakilishi halali wa wananchi, bali aliingia mdarakani kwa ule uchaguzi wa kishenzi. Isitoshe alikuwa akimdhalilisha Mbunge Lema wakati akiwa muwakilishi halali wa wananchi, hivyo acha apate malipo yake.
Waache wamalizane
 
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.

View attachment 3316795
Hajawahi na hatawahi kuwa KIONGOZI MZURI.
Makonda hajui lolote kuhusu uongozi . Ni zao la watanzania PUNGUANI
Mbona hasemi yale made po ya mafuta kule KIGAMBONI kayapata vipi ???
Yupo kwenye mtandao wa kuagiza mafuta na kina famouk wezi wakubwa
 
Hesabu za kuacha Ukuu wa Mkoa kwenda kua Mbuge naonaga ni hesabu kichaa
Ukuu wa mkoa unaweza kuamka kazi imekwisha kwa sababu aliyekupa ana mood mbaya, ubunge at least una uhakika kidogo na miaka 5, na pesa zao tofauti yake ni uwezo wa kuiba bila aibu na uchawa tuu
 
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.

View attachment 3316795
Kiukweli sio safi.....Makonda ana mwisho mbaya sana..
 
Ninachojiuliza why Arusha mjini?? Gambo akiwa RC alihangaika sana na Mh Lema. Nakumbuka aliwahi kumtoa kwenye kikao na kwenda kuwekwa Lockup kwa amri yake. Hakuhangaika na wale Wabunge wa Karatu, Ngor, Monduli, Longido wala Arumeru Mashariki/Magharibi.

Makonda nae hapo hapo Mjini. Kuna nn pale Arusha Mjini?? Kafunga barabara kuwapa alichowapa pale pale mjini tu why not other places?? Na kama ni Ubunge kwanini ni pale mnini tu??

Wakazi wa Arusha Mjini amkeni msikubali wanasiasa uchwara kuja kuwafanya daraja la kuvukia kuelekea kwenye tamaa zao za madaraka. Mkuu wa Mkoa anaachia ngazi kisa Ubunge. Why??

Mkuu wa Mkoa anauliza: wewe ni Diwani wa wapi? Mimi ni Diwani wa Kata ya Lemara Mheshimiwa. Anauliza tena Lemara iko wapi? Hajui hata Lemara ilipo. Halafu eti anataka kugombea Ubunge. Lazima apatikane mtu sahihi mwenye kuifahamu vizuri jiografia ya Jiji la Arusha. Wapeleke tamaa zao kwingine.
Waache wapambane waote M23!
 
..sijui kama suala la Gambo ni bahati mbaya au ni mkakati umepangwa dhidi yake.

..ninachokumbuka wakati wa Jpm kuna wabunge wa upinzani walikuwa targeted kwa kutumiwa ma-rc, au ma-dc, kuwafanyia vurugu katika maeneo yao.

..kwa mfano, Gambo alipewa ukuu wa mkoa ili apambane na Lema na hatimaye aje kugombea dhidi yake. Ndio maana Gambo aliweza kugombea pamoja na kuwepo kwa katazo la Magufuli kwa wakuu wa mikoa na wilaya kugombea.

..Miraji Mtaturu naye aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Ikungi ili kwanza amhujumu Tundu Lissu na baadae aje kugombea Ubunge dhidi yake.

..Nchi imefika katika mahali pabaya kwasababu sanduku la kura limetekwa na genge fulani la watu. Genge hilo ndilo linaloamua nani ashinde katika nafasi zote za kuchaguliwa.
 
In a long and wider run siyo RC anamfunika Mbunge? Haswa kama mbunge siyo waziri?
RC hawezi kumfunika mbunge kwa hela maisha yake yote. Ukiachilia mbali pesa na posho anazolipwa bungeni pia mabenki yanawapa mikopo ya hela mingi mno. Wabunge wafanyabiashara huchukua mkopo wa hela ndefu na kuwekeza kwenye biashara zao.
 
..sijui kama suala la Gambo ni bahati mbaya au ni mkakati umepangwa dhidi yake.

..ninachokumbuka wakati wa Jpm kuna wabunge wa upinzani walikuwa targeted kwa kutumiwa ma-rc, au ma-dc, kuwafanyia vurugu katika maeneo yao.

..kwa mfano, Gambo alipewa ukuu wa mkoa ili apambane na Lema na hatimaye aje kugombea dhidi yake. Ndio maana Gambo aliweza kugombea pamoja na kuwepo kwa katazo la Magufuli kwa wakuu wa mikoa na wilaya kugombea.

..Miraji Mtaturu naye aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Ikungi ili kwanza amhujumu Tundu Lissu na baadae aje kugombea Ubunge dhidi yake.

..Nchi imefika katika mahali pabaya kwasababu sanduku la kura limetekwa na genge fulani la watu. Genge hilo ndilo linaloamua nani ashinde katika nafasi zote za kuchaguliwa.
Ni kweli ulikuwa ni mkakati maalum. Na walifanikisha hilo. Jimbo liko chini ya CCM kwa sasa.

Huyu mwingine nae anatumia mbinu zile zile za kumdhoofisha Mbunge wa sasa ili aje aingie kwenye kinyang'anyiro. Ndiyo maana nikauliza kwanini ni Arusha Mjini?? Pale kuna nini??
 
Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike.

Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake

Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana

Makonda ni mara ya tatu anaendelea kumdhihaki mwenzake ambae ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo mbele ya hadhira, kitu ambacho sio kizuri kabisa.

View attachment 3316795
Ugomvi wa Ndugu huo, ngoja nichukue jembe nikalime
 
..Nchi imefika katika mahali pabaya kwasababu sanduku la kura limetekwa na genge fulani la watu. Genge hilo ndilo linaloamua nani ashinde katika nafasi zote za kuchaguliwa.
Mwisho watauana wenyewe kwa wenyewe hahahaah
 
Back
Top Bottom