Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

Ila hushangai rais wetu kuombewa na mashehe ,wachungaji na machifu ?!!!

#Siempre JMT🙏
 
Hizo adhana huwa ni kupigiana makelele tu yasiyokua na mpango, kwani kuna asiyejua muda wa kusali?
Lisilokuhusu linakupandishaje jazba kama sio kukosa malezi ya kujiamini kutoka kwa wazazi wako wasiojiamini?!!!
 
Tunakoelekea tutakuwa tuasimamishwa hata makazini kupisha azana.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona hiyo ni kawaida kabisa Tanzania, kabla hata ya Uhuru na hakuna awamu iliyoli[inga wala kulikejeli hilo, katiba inaruhusu watu kuabudu. Kama wewe huswali hulazimishwi.

Wapi uliona mtu akikatazwa kusali akiwa ofisini kwake?
 
Ni kweli serikali haina dini, ila YEYE, Mh

Ni kweli serikali haina dini, ila yeye mh Rais ana dini. Tuache nongwa watanzania, lipi jema kwetu!? Duh, kazi kweli kweli!
 
... KIAPO CHAKE CHA URAIS ALIKIFANYA HUKU AMESHIKA MSAHAFU WA KIISLAM! ... KWAHIYO KUHESHIMU IBADA ZA KIISLAM NI UTHIBITISHO KUWA PIA ATALINDA KIAPO CHAKE!
 
Kwani hawa Sukuma gang wakifutiwa uraia wao, taifa litapungukiwa nini? Naomba kuuliza tuu maana sioni faida yao zaidi ya kuchochea udini kila siku.
 
Kwa hiyo Kama Kuna matendo anaenda kinyume na Imani yake Basi aende kinyume na yote!!?...na aliyekwambia Imani yake inamktaza kuingoza nchi ya kikafiri Nani!?
 
Ni sahihi ameheshimu dini yake.
😁😁😁😬🙄Dini hiyo hiyo inasema mwanamama hatakiwi kuwa kiongozi mwenye mamlaka ya juu kabisa ila anaweza kuwa kiongozi wa chini chini tu what a shame.
 
Kunywa sumu ufe tu hakuna namna
 
Angalau kaonekana ana akili kwa kuiheshimu ibada maana yeye ni Muislam, ila Kama angepuuzia kwakweli angekua miongoni mwa WAPUMBAVU. Kwa upande wangu naona alichokifanya Ni sahihi kabisa mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…