Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

Ila hushangai rais wetu kuombewa na mashehe ,wachungaji na machifu ?!!!

#Siempre JMT🙏
 
Hizo adhana huwa ni kupigiana makelele tu yasiyokua na mpango, kwani kuna asiyejua muda wa kusali?
Lisilokuhusu linakupandishaje jazba kama sio kukosa malezi ya kujiamini kutoka kwa wazazi wako wasiojiamini?!!!
 
Tunakoelekea tutakuwa tuasimamishwa hata makazini kupisha azana.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona hiyo ni kawaida kabisa Tanzania, kabla hata ya Uhuru na hakuna awamu iliyoli[inga wala kulikejeli hilo, katiba inaruhusu watu kuabudu. Kama wewe huswali hulazimishwi.

Wapi uliona mtu akikatazwa kusali akiwa ofisini kwake?
 
Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Ni kweli serikali haina dini, ila YEYE, Mh
Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.

Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?

Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini y

Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.

Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?

Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Ni kweli serikali haina dini, ila yeye mh Rais ana dini. Tuache nongwa watanzania, lipi jema kwetu!? Duh, kazi kweli kweli!
 
... KIAPO CHAKE CHA URAIS ALIKIFANYA HUKU AMESHIKA MSAHAFU WA KIISLAM! ... KWAHIYO KUHESHIMU IBADA ZA KIISLAM NI UTHIBITISHO KUWA PIA ATALINDA KIAPO CHAKE!
 
Kwani hawa Sukuma gang wakifutiwa uraia wao, taifa litapungukiwa nini? Naomba kuuliza tuu maana sioni faida yao zaidi ya kuchochea udini kila siku.
 
Nadhani ungetumia sababu nyingine tu. Ukianza mambo ya imani yake inamruhusu au haimruhusu utafungua Pandora box. Mfano imani yake inamruhusu kuongoza taifa?

Au mengine mengi anayofanya kama kiongozi yanaruhusiwa na imani yake?

Sio nongwa. Rais ni mtumishi wa wananchi wana haki ya kuhoji, iwe kwa akili au kijinga. Ni haki yao ya kikatiba kama wewe ukivyo na haki hiyohiyo. Acha wahoji, na sio lazima wajibiwe. Ila wana haki ya kuhoji chochote kutoka kwa mkuu wao wa nchi!
Kwa hiyo Kama Kuna matendo anaenda kinyume na Imani yake Basi aende kinyume na yote!!?...na aliyekwambia Imani yake inamktaza kuingoza nchi ya kikafiri Nani!?
 
Ni sahihi ameheshimu dini yake.
😁😁😁😬🙄Dini hiyo hiyo inasema mwanamama hatakiwi kuwa kiongozi mwenye mamlaka ya juu kabisa ila anaweza kuwa kiongozi wa chini chini tu what a shame.
 
Kunywa sumu ufe tu hakuna namna
Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.

Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?

Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
 
Angalau kaonekana ana akili kwa kuiheshimu ibada maana yeye ni Muislam, ila Kama angepuuzia kwakweli angekua miongoni mwa WAPUMBAVU. Kwa upande wangu naona alichokifanya Ni sahihi kabisa mkuu...
 
Back
Top Bottom