abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Mungu gani sasa hapo ndo shida! Au huyu huyu allah wa wenzetu? Sio kila neno Mungu linamaanisha wa kwako! Kila mtu anamungu wake! Allah mimi hanihusu hata kidogo!
Wakati tunatafuta Uhuru tulikuwa tukihamasishana Hadi misikitini,wakati huko kanisani watu walilia wakoloni kuondoka
inaweza kuwa sahihi lakini siyo lazima. ni kutupotezea muda tu sisi tunaochukulia hayo maspika kama kelele tena yapigwe marufuku kama rwanda
Sukuma gang ni kitu gani acha unafki weweAre you Sukuma Gang? maana mna chuki na kila kitu cha Samia
Ugaidi?;Qur'an 3:103. Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane.
Huo ndiyo Uislam.
Wacha uzombie wewe! Usiingize udini hapo, hizo ndizo taratibu na zipo enzi na enzi!Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Ni kweli kabisa tuyaache yapite ili mradi hayavunji maadili,mila zetu,kanuni na sheria za nchiMambo mengine ruhusu yakupite.
Na uwanja ulikuwa ni huo huo wa Jamhuri wakati adhana ilipoungurumishwa ndani ya msikiti wa Ghadafi siku viongozi wanatoa heshima za mwisho kwa hayati JPM.Jambo la kiungwana sana hili
Nakumbuka hata uhuru kenyatta pia alifanya hivyo pale dodoma
KabisaNi kweli kabisa tuyaache yapite ili mradi hayavunji maadili,mila zetu,kanuni na sheria za nchi
Hii Jamii Forums very soon itakufa kwani kuna hoja zingine za kijinga sana na chuki hata za kidini zinaruhusiwa kuletwa humu. Hii hatuwezi kuita ni uhuru wa kutoa maoni bali tutaita uhuru wa kuonyesha tunawanachama wangapi wana IQ 0 kwenye kichwaLeo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Nyinyi wazee wa Madrasa! Endeleeni kuvaa madera tu! Ulishawahi kukuta darasa la chup huku Tanzania bara wana funzi wengi ni waislam? Nitajie chup hata kama kiko huku pwani!? Mnapoteza mda kusoma hadithi badala ya kufanya vitu vya msingi!Mtoa Hoja ni mtu mwenye akili ndogo na isiyoona mbali. Asubiri na Waislamu walalamike kwamba nchi hii ilitawaliwa na Wakiristu na hadi leo inaendeshwa Kikristu.
Waislamu watadai siku ya Mapumziko kwao iwe Ijumaa, Wasabato Jumamosi na Wakiristu Jumapili. Waislamu pia watadai Fidia kwa uonevu na ukandamizaji wote waliopata kuanzia Wamisinari kuja na kutawala Kikiristu hadi kuondoka.
Hapa ndiyo suala la Udini litakapoeleweka vizuri
Jana hata nilikuwa Rufiji ndani huko kwenye mbio za mwenge wa Uhuru, Kuna Adhana ilipigwa mida ya saa kumi kasoro hivi mkimbiza mwengi akiwa anahutubia akasimama kuhutubia kisha akaendelea baada ya kumaliza Adhana, sikuona kama watu walikereka.Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Babu...Huyu mzee kaanza mambo yake
Hayo ni ya kwakoMama Samia alisitisha kuongea Muda wa Adhana lakini Sura yake Haikupendezwa na alichokifanya na ilionyesha ni kama alitamani liadhana liishe mapema.