THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
- Thread starter
-
- #61
Mnatumia nguvu nyingi sana kujionesha mko sahihi mnadhani Pope ni darasa la nne failure kama Hangaya? mnaudhi sana nyie Umbwa koko , Jitu linatumia kodi za watu masikini kwenda kwenda kupiga mapicha ya propaganda kila mahala duniani na nyie Zero brain mnaona sawa tu, Mwalimu alishawahi kusema ni bora ukose mali upate akili. Matako Yenu.
Acha unaa na uchonganishi
Unaweza kuona mtu kavaa suti kumbe kichwani hamna kitu.
Kweli ? Uue watu halafu upande ndege kwenda kuiambia dunia kwamba nguvu iliyotumika kuua raia ni halali?
Hamjui kanisa linavyofanya kazi chiefFriends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Hamjui kanisa linavyofanya kazi chief
Mkuu,Kanisa lilikuja nchini kama agent of colonialism as missionaries
Unafahamu hilo??
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZAFriends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Abdul anakusifia anasema wewe mnato sana ndiyo maana hakuachi
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA
NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?!
1. SAFARI YA VATICAN
Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo ya kuambiwa, “Kama hamkumsikiliza Musa na Manabii, hamtaweza kushawishika hata mtu akifufuka”(Luka 16:31). Patana na mshtaki wako kabla ya kwenda kwa Kadhi.
2. MABEBERU:
Tumezoea kuzizodoa nchi za Ulaya kuwa ni mabeberu. Vatican iko Ulaya. Je, Hata Papa ni Beberu? Naye anataka kuchimba Uranium yetu?
3. AMANI YA NCHI
Wizara ya Mambo ya Nje inamuomba Papa aiombee nchi yetu iwe na Amani na Utulivu. Wizara ya Mambo ya Ndani inasema nchi iko salama imetulia. Hawawasiliani? Nani msemaji wa nchi?
4.MARIDHIANO
Wazee wa Chama wanataka Maridhiano. Bunge linasema nchi iko sawa. Tume iko kazini kuchunguza. Nani mkweli? Je kuna ukweli tusioujua hadi tuumulike kwa tochi ya Tume? Je tunataka maridhiano kabla ya ukweli?
5. CHADEMA na CCM
Wapo wanaosema Chadema Imekufa lakini wanaisema kila siku. Huyu ni marehemu mwenye nguvu. Makada wa CCM wanasema CCM tunatamba nayo. Ukiiangalia unaiona ni mfungwa asiye na pingu. Nani zaidi kati ya marehemu anayeishi na aliye hai lakini amekufa?
6. YALIYOTOKEA OKTOBA 29
Siku hii inatusumbua mpaka tunaenda Vatican. Bado kwenda Mecca. Kama waliokufa hawajulikani; waliowaua wanajijua. Dunia inajua makundi yote mawili. Hekima ya WAJALUO inasema, “kuchelewa kwenda kujisaidia, hakuzuii njaa kuuma”. Tukubali: Tuliua, Walikufa; tuombe radhi, tuwajibishane na kusonga mbele.
7. TUNDU LISU
Waliompiga risasi hawajapatikana lakini walioiba michango yake wamekamatwa. Yeye yuko rumande. Mahakama imeenda likizo na haki yake iko likizo. Fikiria daktari akienda kupumzika katikati ya operesheni mgonjwa?!
8. WIZARA YA MAMBO YA NJE
Hii Wizara inaonyesha tuko vitani. Kimsingi ina mawaziri 4: Kombo, Kabudi, Nyalandu na JK. Msiniulize JK ni nani maana mtamuona anatumwa katika masuala magumu nje. Waliobaki 3 na manaibu 2, wanaunda kikosi kazi cha mawaziri wa wizara. Msiniulize nani ni Boss maana Kabudi anaweza kujikuta ni Naibu Waziri. TUNAJIKANYAGA MNO.
9. Taifa likiwa katika mtifuano kama tulio nao, linakuwa kama mgonjwa. Hawezi kwenda kwa daktari akagoma kuvua nguo. Tuvue zote na madaktari watuingizie vidole kila mahali ili kubaini ugonjwa ulipo ndipo tutibiwe.
Wajaluo wakibanwa TEZI DUME husingizia wanaumwa kichwa.
Sasa Wajaluo wa TEZI JIKE hao usiseme!
NotedFriends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili,serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Utaliwa sana lakini kuolewa huolewi utabaki kiburidisho msenge mzee wewe
Hakuna mkristu mjinga, labda wale wa maigizo wa ccm.Friends and Our Enemies,

Oya umemuelewa jamaa alichokwambia kwamba huwezi ukaruka hairachia yaan huwezi ukafika 10 kabla ya kuanza 0 kwa hio ili ufike 10 lazima uanze 0 uende 1 uende 2 mpaka ufike 10 hauwezi ukaenda tu 10 vuupu ukaeleweka, ndio maana anakwambia hamjui kanisa linavyofanya kaziWhatever...Kitima na Ruwaichi meseji iwafikie kwamba serikali kama dola ina zungumza na watu wenye heshima kwao kama Papa
Sasa wao wakae kwa heshima na adabu sababu huyo kiongozi wao mkuu duniani anaipa heshima serikali hii.
Juma pili mkienda kuwalisha sadaka msisahau kuwaeleza na huu ujumbe wangu.
Kwa kukusaidia papa anafanya jambo kwa maelekezo yanayotoka sehemu mahalia,Whatever...Kitima na Ruwaichi meseji iwafikie kwamba serikali kama dola ina zungumza na watu wenye heshima kwao kama Papa
Sasa wao wakae kwa heshima na adabu sababu huyo kiongozi wao mkuu duniani anaipa heshima serikali hii.
Juma pili mkienda kuwalisha sadaka msisahau kuwaeleza na huu ujumbe wangu.
Ulikuwa hujui? Kuna lipumbavu humu if zaidi ya huyu mleta mada?Kumbe we ni faller wa level Hii.
Akili za kuambiwa changanyamoo na zakoo!Uchonganishi uko wapi sasa
Unajua kanisa katoliki hapa nchini wanajiona wao ni serikali kuliko serikali yenyewe
Sasa ilichofanya serikali ni kuwapuuza na kuwaonesha kwamba wao ni dhehebu tuh kama wenzao anglican au mzee wa upako au mwamposa.
Hawana upekee wowote hao mafala.
Oya umemuelewa jamaa alichokwambia kwamba huwezi ukaruka hairachia yaan huwezi ukafika 10 kabla ya kuanza 0 kwa hio ili ufike 10 lazima uanze 0 uende 1 uende 2 mpaka ufike 10 hauwezi ukaenda tu 10 vuupu ukaeleweka, ndio maana anakwambia hamjui kanisa linavyofanya kazi
Kwa kukusaidia papa anafanya jambo kwa maelekezo yanayotoka sehemu mahalia,
Mfano hapa kwetu kupitia tamko la TEC. Ndio maana ya hairaikia mzee. Watu hawakurupuki. Unaweza ukaongea na Papa mzee na ukashinda nae huko ofisini atakurudisha TEC ndio maana hata tamko la vatican bado wanasisitiza tume huru kiuchunguz. Ni wapuuz tu wanazid kupoteza muda wakidhan kuna kipya wanajenga. Ndio maana mliitwa malofa. Hamjitambui