THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
- Thread starter
-
- #81
Mkuu,
Unajua maana ya colonialism?
Na huo ukoloni si uliambatana na slave trade?
Sasa kwenye biashara ya utumwa uislamu na kitabu chake si ndiyo balaa? Kuna haja ya kuliongelea hili swala?
Alafu haupo consistent kwenye mada. Unaparamia na kuandika chochote ili mradi uonekane unajibu. Ila unapoteana. Anzisha mada mpya kama unataka tujadili colonialism.
Chuki humchoma anayehifadhi.
Au nasema uongo The Icebreaker ?
Wewe piga kelele lakini inafahamika kuwa ****** wako uko waziii kama jaba mashekhe wa BAKWATA wanajifiria tu Abdul ameshakuvunjaJibu swali
Juma pili hii hilo kalio unalipeleka parokia gani kuhudumia wale wavaa magauni??
Umeona watawa wale masister wanafaidiii ukaona na wewe ujiunge kwenye kutoa huduma kwa wavaa magauni siyo??
Sasa kweli hiyo tigo itakuwa salama kweli??si watakuua wale vichaa na zile nyege zao
Wewe piga kelele lakini inafahamika kuwa ****** wako uko waziii kama jaba mashekhe wa BAKWATA wanajifiria tu Abdul ameshakuvunja
Uchawa kazi sana. Ilimradi tu upate sehemu ya kujichomeka.
Hivi unawezaje kulitofautisha kanisa katoliki Tanzania na Vatcan?
Ukaja kwa mbwembwe kama vile umeliweza kanisa.
Kama unavyoina ccm na serikali kuwa ni kitu kimoja ndivyo misingi ya ukatoliki ilivyo.
Kanisa moja, takatifu, katoliki la mitume.
Ukielewa hiyo kanuni utatulia.
Mufti Zuberi anajifiria tu hapo kwenye kinyeo chako, akichoka anampasia Sheikh Walid wa mkoa wa Dar es Salaam.Au una mpelekea Pengo??
Maana hadi wakumalize maaskofu wote wale na nyege zao za kuishi bila kuoa hilo shimo litakuwa taabani.
Sasa wewe cho.ko mchafu umeona watawa wanaenjoy sana hadi ukafikia hatua ya kujitoa sadaka kwa hao.wavaa magauni??
Watakuua hao vichaa
Unasema Wewe ni Mmakonde wa kusini,tuujadili ukristo au athari za ukoloni huko? Tujadili atahari za ukristo na uislamu huko kusini? Upo tayari?Unakataa kuwa amongst of the agents of colinialism ni explorers,traders and missionaries??
Hao missionaries unadhani ni nani kama siyo christians??kule kwetu umakondeni tuliwaita wamisheni...
Na kuna popote kwenye biashara ya utumwa umeskia contribution of islam kwenye slave trade??
Na unadhani ni nani walikaa kwenye berlin conference 1884/85 kudiscuss scramble and partition of Africa??si ni hao mabwana zenu weupe au unajichetua
Tukikueleza kuwa kanisa lina kesi ya kujibu kwetu waafrika uwe unaelewa.
Umepiga sana spana mkuu. Asante kuilewesha hii chawa.Unasema Wewe ni Mmakonde wa kusini,tuujadili ukristo au athari za ukoloni huko? Tujadili atahari za ukristo na uislamu huko kusini? Upo tayari?
Alafu unaongelea habari ya Berlin conference,Sasa waarabu wangeketi vipi kwenye kikao cha Berlin wakati wazungu waliwachukulia kama watu wa Tabaka la chini na wa hovyo tu.
Mzungu akae na Mwarabu wajadili habari za scramble for Africa?
Kwa nini unachora mstari likija swala la Mwarabu na utumwa?
Alafu unasema unasema wewe ni Mmakonde means unatokea Mtwara? Hujaona effects za hiyo biashara pale mikindani? Ule mji wa kilwa uliotoweka hujui kuwa biashara ya slave trade ilishamiri pia? Humjui tip tip? Hujui misafara ya slaves kutoka Tabora Kuja pwani na waarabu wakihusika Moja kwa Moja?
Hujakiona kile kizingiti pale Zanzibar ambacho waarabu walikuwa wanawafunga minyororo kama mbwa ndugu zetu ambao walionekana wakorofi kabla ya kuwapakia kwenye majahazi? Vile vichumba vidogo ambavyo waliwekwa ndugu zetu kabla hawajapakiwa kwa mashua kwenda arabuni navyo hujawahi kuviona ? Tena hadi wengine wali suffocate na kufa? Wale si waislamu wenzio walifanya vile? Au kwa kuwa walikuwa waislamu na waarabu?
Unasema unatokea kusini kwa wamakonde hujui habari za kina Che Ngunga kutokea Masasi na Tunduru kwa wanakua wakifanya misafara ya kuja pwani kukutana na watu waliofanya hizo biashara? Walikuwa wazungu wale au waarabu?
Hujui pale mikindani kwenye ile minazi mingi mirefu waliipanda waarabu? Na Moja ya adhabu zao kwa ndugu zetu weusi walikuwa wanawaambia watu wapande juu kisha wanawatungua kwa magobole kama nazi?
Wengine wanawakata viganja kisha wanawaambia wakwee juu kwenye minazi wakaangue nazi? Alafu wao wanaovuta Kiko na kucheka? Unatokea mtwara Gani?
Linapokuja swala la biashara ya utumwa sijui kwa nini nyie watu wa upande wa pili mnapenda kuwatetea waarabu na kuwajadili wazungu pekeyao.
Ndiyo maana sisi tunawaona kama watu mnaonendelea kukua,hamjatimia Bado.
Unatokea kusini alafu unaukandia ukristo na ukatoriki wakati unapajua Ndanda. Hujui walichofanya wakatoriki au wamisionary wabenedikrini (Benedictine fathers)pale Ndanda? Huoni palivyo pazuri kama nchi inayojitegemea? Unadhani Samia kipindi cha kampeni alisimama Ndanda kwa bahati mbaya? Hadi akapiga picha na masister kisha wale masister wakapigwa onyo zito ole wao warudie Tena hiko kitendo cha kupiga picha na Samia au kiongozi wa siasa yoyote. Means RC hawamwogopi kiongozi yeyote na wanasema bila konakona.
Umefika Masasi mkomaindo? Mbona uislamu umedominate kusini ila hao waarabu hakuna kitu wamefanya zaidi ya kuwaingiza roho za kivivu na mdebwedo watu wakusini. Ila kusini hiyo hiyo maeneo ya ukristo na ukatoriki kama Ndanda,Masasi,nyangao,Mnero,kule kwa Membe Rondo unaona hayo maneno yalivyo mazuri na maendeleo na watu wake ambao wengi ni wakristo walivyo na Aura?
Nimekuambia kama unataka tuongelee slave trade Lete Uzi kisha nitag. Ila usirue ruke Kila tawi. Stick into the lane.
Ukweli unabaki kuwa Wewe hujui chochote kuhusu ukristo na ukatoriki zaidi ya chuki.
Wazungu walikuwa wawazi tu na taarifa zao zilikuwa documented na tumezisoma na ndiyo maana wewe unaandika mashudu hapa kusema walileta hayo mambo matatu Africa.
Ila waarabu ndiyo walikuwa watu wa hovyo zaidi katika hizo zama.
Lindi,Mtwara, Zanzibar,Pwani,Kigoma,Tabora hayo maeneo Yana umasikini wa uchumi hadi wa fikra na yameathiriwa na dini yako unayoona ni Bora kuliko ukristo.
Chuki na roho mbaya vinakumaliza
Friends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili, serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
Huyu mleta mada ni mgonjwa na anadhalilisha sana dini yake,maana ana influence humu kwa watu wa Imani yake.Umepiga sana spana mkuu. Asante kuilewesha hii chawa.
Ila ni Katoliki na sio katoriki.
Unasema Wewe ni Mmakonde wa kusini,tuujadili ukristo au athari za ukoloni huko? Tujadili atahari za ukristo na uislamu huko kusini? Upo tayari?

Wewe si ndiyo huyu?👇Unachanganya mambo na mbaya zaidi unatia huruma kwa kutaka kuonekana msomi unaejua kumbe unaungua jua.
Sina haja ya kufungua uzi mwingine tuendelee hapa hapa.
Nimekuuliza weka ushahid wa contribution of islam kwenye slave trade cha ajabu unakuja kuleta mambo ya waarabu,kwani nani kakuambia mimi niko hapa kumtetea muarabu?unapata hata nafasi ya kutembea duniani na kuona maisha kwa angle nyingine ukaweza japo kutofautisha baina ya uarabu na uislam??
Wapo waarabu wengi ambao hawaufuati uislam na uislam haukuja kwa njia ya slave trade east africa ma africa kw ujumla.
Waarabu ambao walikuwa wanafanya biashara ya utumwa na pembe za ndovu coast of east africa hao kina tipu tipu na wenzake walikiwa middle men wakiwatumikia mabwana zenu wazungu ambao leo unawashangilia eti kwamba wamekuachia hospitals kama ndanda,nyangao na mkomaindo..
Man wake up and read your history..
Wamisheni walijenga ndanda na nyangao au peramiho hawakujengea wewe eti kwamba walikuwa wanakupenda sana,walijenga hizo kama means za kuwatibu wafanyakazi wao wazungu na baadhi waafrika ambao walikuwa ni wazalishaji kwenye serikali yao huku bibi na babu zako wakiteseka na kuwa watumwa miaka na miaka.
Mko brainwashed kwa kusema kwamba watumwa walikuwa wanapelekwa uarabuni kutoka afrika na tukiwauliza mabaki ya uzao wao uko wapi huko uarabuni?mnasema eti ooh walikuwa wanahasiwa..huo ni uzushi na kukataa ukweli kuwa missionaries ndiyo walikuwa wanachukua slaves na kuwapeleka nje ya nchi ikiwamo brazil,america na carribean na kadhalika na ushahidi upo hadi leo wa mabaki ya ndugu zetu blacks katika hizo sehemu.
Ngome ya yesu hapo bagamoyo,kilwa na stone town island zanzibar ni miongoni mwa ushahidi ambao upo hadi leo unaonesha wazi wazi ushirika wa kanisa katika biashara hiyo haramu.
Zanzibar lipo kanisa ambalo lina kumbu kumbu ambapo wazee wetu walikuwa wanaombewa kabla ya kupakiwa kwenye meli na kupelekwa utumwani wewe unataka kusema kitu gani??
Huna habari kuwa kanisa limeomba hadi radhi kwa ushiriki wake wa biashara hiyo haramu na dhalili kwa wazee wetu ajabu wewe unakuja hapa kusifia kuwa hawakuhusika??
Huyu mleta mada ni mgonjwa na anadhalilisha sana dini yake,maana ana influence humu kwa watu wa Imani yake.
Nimeona Kuna Uzi kacomenti si muda mrefu anasema wahalifu waliwe tigo. Yaani anataka waarifu wafirwe.
Unaona patterns hizo Mzee? Huwa nasemaga waislamu wengi ni watu wa hovyo ila wao Kila saa utasikia papa amehalalisha ushoga,ukristo unaruhusu ushoga
Wakati yeye mwenyewe ni shoga tayari.
The Icebreaker anapenda kulike vicommenti vya huyu jamaa sana. Nahe anapenda kuongelea ushoga.
Aione hii.
View attachment 3536006
Friends and Our Enemies,
Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje imetuma ujumbe kwenda kwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ingawa hajifahamika zaidi undani wa mazungumzo katika ujumbe huo kwenda kwa papa lakini itoshe tuh kusema kwamba serikali yetu ni serikali iliyojawa na hekima na busara katika kuongoza taifa letu.
Mara baada ya kuonekana kwa taarifa hiyo vijana mbali mbali wenye mtazamo hasi dhidi ya serikali wamenasibisha ziara hiyo eti kwamba serikali imeenda kujisafisha kwa kanisa huko vatican kutokana na mahusiano yake na kanisa hapa nchini kuzorota.
Tungependa kuwaambia wafuasi wa kanisa katoliki na wafia dini wenzao kwamba siyo mara ya kwanza serikali kutuma ujumbe kwa papa vatican.
Soma Pia: Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu
Hata Rais Samia kabla ya uchaguzi alishawahi fanya ziara vatican na kukutana na papa.
Pili, serikali haina ugomvi na kanisa katoliki nchini hapa,wanaoutafuta ugomvi na serikali ni wao wenyewe kanisa kwa kutaka kujiingiza kwenye uhasama na serikali kwa kisingizio cha kupigania haki za binadamu na demokrasia huku ikihamasisha chuki na utengano kwa waumini wake dhidi ya serikali.
Ilichofanya serikali ni muendelezo wa taratibu zake za siku zote hazina uhusiano wowote na hizo propaganda wanazozusha hao wafia dini.
Kanisa katoliki Tanzania na viongozi wake watambue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya serikali,serikali ina mkono mrefu wa kuweza kutuma waziri wake na kiongozi wao mkuu duniani akaitika wito na kuwapa heshima.
Wao ni nani hadi wajifanye wana nguvu dhidi ya serikali???
RE BIG SHOW! Mzee wa inama inuka, kibinda mkoi.Safi sana
Wafikishie salaam wale wavaa magauni wenu
Umepiga sana spana mkuu. Asante kuilewesha hii chawa.
Ila ni Katoliki na sio katoriki.
Uchawa kazi sana. Ilimradi tu upate sehemu ya kujichomeka.
Hivi unawezaje kulitofautisha kanisa katoliki Tanzania na Vatcan?
Ukaja kwa mbwembwe kama vile umeliweza kanisa.
Kama unavyoina ccm na serikali kuwa ni kitu kimoja ndivyo misingi ya ukatoliki ilivyo.
Kanisa moja, takatifu, katoliki la mitume.
Ukielewa hiyo kanuni utatulia.
Ukimwona Kabudi na Kombo mahali usitarajie matokeo chanya wanajulikana. Kabudi hakuleta kinywaji chenye ulevi alipotumwa na Magufuli Madagascar? Haya huyo Kombo ameleta hata makopo mmoja huko anakotumwa? Wameenda kujiselfie na papa hakuna mtakachopata.Serikali inaongea na mwenye mmbwa ambae ni papa.
Mmbwa mwenyewe hata akiamua kuendelea kubweka anajisumbua tuh
Waziri wako mkuu kila Mara anaomba vikao na hao hao TEC.Wewe kweli ni kichaa
TEC INAWEZA VIPI KUTOA USHAURI KWA SERIKALI WAKATI HAPO HAPO ILIKUWA INA KAA VIKAO NA CHADEMA KUPANGA MIPANGO YA KAMPENI??
TEC IMESHACHAFUKA NA HAINA MAANA TENA KAA UKIJUA HILO
HATA TAREH 29 OKTOBA TEC ILISHIRIKI KUHAMASISHA FUJO