KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Halafu nakumbuka kitambo hicho ule wimbo zilipendwa ulivyotoka tu, wadogo zangu wawili tukipika kitimoto wakawa wanauremix " hakuna nyama kama kitimoto, aaa, aaa ×2,,, kwa utamuuu, kwa utamuuu yeye,,,yeyeye ...iyeeeee hakuna nyama kama kitimoto ooooo,,,, kwa kunona, kwa kunonaaa ye ye yeeeeee, iyeeeeeee, hakuna nyama kama kitimotoo .......ooooooo
 
Hv kati ya hio nyama na pombe kipi haramu?
 
jaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Aisee pole sana baby wangu kumbe unakosa utamu hivyo ngoja jumapili ukija gheto nitakununulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mpenz lakin jumapil ndo siku lasm ya kuanza kula mbuz katolik kwahiyo jiandae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…