Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

Umetaja andazi akili imekumbuka jambo la ajabu,

Huwa sipendi andazi la siku hiyo hiyo, napenda andazi lililolala, wauza maandazi huwa wananishangaa mnoo, nikifika naulizia andazi la jana, kama hawanijui wanaona kama nawadhihaki vile, wanaonijua yakilala huwa wananishitua mpaka kwa simu.
 
Sasa maandazi ni kitu cha hovyo!!? Si bora ungesema kuomba omba.
 
Mi napendaga sana harufu ya udongo Mkavu pale unapoanza kunyeshewa na mvua ya ghafla, natamani hata niutafune huo udongo, pia unga wa kukaangia maandazi au half cake (kinyumga/dough) huwa natamani niule, unanoga sana.
😅😅😅
 
Me napenda sana nyonyo ndog ndog za madem zinazoshikika vzr zile, ziwe dede. Ni upuuzi kwakweli 😄
 
Unajua kuyatayarisha na kukaanga? Unajua nilikuwa sijui kama kuna mandazi ya nazi. Hebu weka recipe yake unajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…