Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Mi nilienda moja kwa moja....
Na sms tamu tamu.
Nashangaa jamaa kapaniki. .😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na humu anatumia jina la kike kabisa na alisema anataka mtu kule kwenye love connect sijui😁😁😁

Nikakubali tuu kusema faza nisamehe mimi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Hahaha..
Sasa broo, si ungetusanua tu kuhusu hiyo I'd tusije kujichanganya?
 
Back
Top Bottom