Ndo ukweli huo..Poor Brain Bakiza maneno mkuu π
Acha uwoga ππππDah ikifika hatua hiyo ni bora kuwekana wazi tu kama wenzetu wa magaribi. Habari za kutangulizana si nzuri kabisaπ€
πππNilijua tutaendelea kufanya kila siku, kumbe kuna muda haisimami hata umkalie kicheleπ
Ila hapo pa kusema papa sio kila siku ??!!!!I thought I'd be eating papa daily, kumbe ni kujidanganya tu, saivi hata wiki mbili zinakata na wala sioni shida.
I thought it was a bed of roses, kwamba maisha ni mteremko tu kila unachotaka kinapatikana kwa urahisi tu, kumbeeeee!
Kwamba kila siku ni raha tu humo ndani, nilijidanganya sana. Ups na downs ni za kutosha.
Thank goodness, tunaishi na Mungu anazidi kuzibariki ndoa zetu.
Yatakushangaza vipi kwani ndo ni jambo la kustukiza au..Ukioa mwanamke aliepata malezi ya kipuuzi kwao yatakushangaza mengi.
Aah wapi mkuu, hata ukiamua kila siku, kuna siku yeye hana mood kabisa, sio vizuri kufosi mambo, kuna siku unarudi home na stress kibao..Acha tu!Ila hapo pa kusema papa sio kila siku ??!!!!
Kwani ukiamua kila siku si wewe tu au kuna mda anakataa na bila kuwa na strong reson mkuu
Umenichekesha sanaaa looohπππππ»Nilijua tutaendelea kufanya kila siku, kumbe kuna muda haisimami hata umkalie kicheleπ
Wamekuja au badoππebu mtu akuje anioe ili nije kuleta mrejesho
Vikikushinda unaomba talaka mkuu cha kufia nn!KUNA ULAZIMA WA KUWEPO SHERIA YA NDOA ZA MIKATABA TANZANIA,NDOA NI ZAIDI YA MATESO
View attachment 2969233
Utapeli kivipi ?akati unakua unalala nayo dailyDaah ndoa ni utapeliiiii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahahaπ€£π€£π€£π€£π€£ We shika adabu yako nimeolewa na bonge la bwana kutoka JF
Wii π€£π€£π€£πππ
Kwann mahi? πππUmenichekesha sanaaa looohπππππ»
Chino wangu jamani I miss you too πhahaha
miss you.
Hii hali inanitesa hadi wa leo.Hicho ndio kilio cha wanaume wengi.....ndio maana tunashauriwa tusioe age mate
Nakutafuta sana tutumie wote.Chino wangu jamani I miss you too π
We nawe unaadimika sana.!! Bado uko bush?