Kazi inayofanywa na Mods ni kubwa mno,...baadhi ya comments zenye matusi heavy huwa wanazifuta ....zingekuwa zinaachwa zile waweza kufa kihoroπ€§ππππ€§π€£Khaaa ujakutana nao tuu...
Kuna watu wapo very matured kwenye matusi...
Hujibu unabaki unaguna tuu mmmh mmmh ππππ
Acha kujidanganya bro/sis huwezi kufahamu identity yangu wala we we sikufahamu.Na
Ukakiri kabisa wewe ni miongoni mwa wale wenye I'd nyingi katika uwanja huu wa JF. Ila nashukuru ulichokifanya kimenifanya nikutambue. That was a call of identificationππ
Broo acha usiseme hvoo mwanamke ni kiumbe hatari akibadilika kweli anamaanisha na huez Amin maamuz yake Hawa wanajua kupretend na wanatujua Sana ukute alikubali kuingia kwenye ndoa akiamn we ni boy* hta akifanya mambo yake hutaeza mfanya lolote mkishaingia tu kwenye ndoa anaanza sasa kufanya hapo utarukia wapi???? Cool broo subir kunyooshwa au usal Sana yaskkteMkuu bado sijaona kipya..
Mtu umekaa nae miaka yote halafu aje abadilike kisa neno ndoa..
Impossible
Kumbe umemuolea sura...pambanashe is very beautiful na amenizalia watoto wazuri kwakwel naomba tu wasiwe mandezi kama mama yao
Qmmke [emoji1787] [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28]Aligoma kunyonya koni
Haya poa, uwe na muda mwema.Acha kujidanganya bro/sis huwezi kufahamu identity yangu wala we we sikufahamu.
Wanawake wachache sana wanaotumia id za kiumeπHumu Kuna wanawake wanatunia I'd za kiume Na wanaume wanatumia I'd za kike
Ni very matured kwenye lugha chafuKazi inayofanywa na Mods ni kubwa mno,...baadhi ya comments zenye matusi heavy huwa wanazifuta ....zingekuwa zinaachwa zile waweza kufa kihoroπ€§ππππ€§π€£
Bado haiingii akili aiseeeBroo acha usiseme hvoo mwanamke ni kiumbe hatari akibadilika kweli anamaanisha na huez Amin maamuz yake Hawa wanajua kupretend na wanatujua Sana ukute alikubali kuingia kwenye ndoa akiamn we ni boy* hta akifanya mambo yake hutaeza mfanya lolote mkishaingia tu kwenye ndoa anaanza sasa kufanya hapo utarukia wapi???? Cool broo subir kunyooshwa au usal Sana yaskkte
Kiapo ni formalities kama wanavyoapishwa viongozi wetu. Kuzuga tu ila uhalisia wala watu hawakumbuki kama waliapa. Hivyo viapo naona viondolewe tu maana ni kumdhihaki MunguMimi nilijua mkioana kile kiapo cha pale madhabahuni ndo maishaa mtakayoishii ile kupendana kweli,kuvumilianaa kutokusalitianaa weeeh nmeingiaa chamoto nmekionaa kuna watu jamani hawakiogopi kile kiapoo.!me nakiogopaa na namshkuru Mungu mwaka wa sita huuu nakiishii kila nikiwaza kukiendea kinyumee napata hofu moja kali sanaa.!
AiseeNilijua tutaendelea kufanya kila siku, kumbe kuna muda haisimami hata umkalie kicheleπ
π€£π€£π€£π€£ basi yaishe broDogo umekoment tu ili kukomenti au una mantiki katika kile ulichokisema? Which part am I grammatically wrong from what I said earlier? Alafu nawe Lamomy umelike kabisa upuuzi aliosema huyo Changchun as unamsapoti kutokana na nilichokisema. Haya nionesheni makosa yangu kwenye ile sentensi, Am keen enough to learn from you guys
Uongo π€£π€£π€£Aiseh!wakati Kwa make ndio Kila saa inasimama!!?au Hana hisia na wewe!!?
Miaka 5 yote ya ndoa sikuwahi kugonga shimo taka (Tigo), siku namtania kwa kumpiga kidole nikashapgaa kuona kinazama chote. Kumuuliza akasema ni mchezo wake siku zote ila kwa kuwa ananipenda alishindwa kuniambia ukweli. Nimemuacha, kumbe alikuwa anafilwa siku zote hizi bila hata mimi kujuwa.Habari za muda huu wanajamii,
Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.
Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi unavyompenda mwenza wako lakini wakati mwingine mambo huwa tofauti na vile ulivyofikiria yanaweza kuwa hasi au chanya.
Je ulipatwa na mshangao gani mkubwa baada ya kuingia kwenye ndoa?
Unaweza uka share na kuwa funzo kwa wengine ambao ni watarajiwa.
habali ya kuzagamuana kila sikuβ¦Habari za muda huu wanajamii,
Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.
Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi unavyompenda mwenza wako lakini wakati mwingine mambo huwa tofauti na vile ulivyofikiria yanaweza kuwa hasi au chanya.
Je ulipatwa na mshangao gani mkubwa baada ya kuingia kwenye ndoa?
Unaweza uka share na kuwa funzo kwa wengine ambao ni watarajiwa.