Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Khaaa ujakutana nao tuu...
Kuna watu wapo very matured kwenye matusi...

Hujibu unabaki unaguna tuu mmmh mmmh 😂😂😂😂
Kazi inayofanywa na Mods ni kubwa mno,...baadhi ya comments zenye matusi heavy huwa wanazifuta ....zingekuwa zinaachwa zile waweza kufa kihoro🤧🙌🙌🙌🤧🤣
 
Mkuu bado sijaona kipya..
Mtu umekaa nae miaka yote halafu aje abadilike kisa neno ndoa..

Impossible
Broo acha usiseme hvoo mwanamke ni kiumbe hatari akibadilika kweli anamaanisha na huez Amin maamuz yake Hawa wanajua kupretend na wanatujua Sana ukute alikubali kuingia kwenye ndoa akiamn we ni boy* hta akifanya mambo yake hutaeza mfanya lolote mkishaingia tu kwenye ndoa anaanza sasa kufanya hapo utarukia wapi???? Cool broo subir kunyooshwa au usal Sana yaskkte
 
Kuna kumwachia hela Kila Siku wazee mwanangu mmoja anatoka 15K per day Kuna muda mpaka 30 K yule make wangu alikuwa majanga kweli

Mwamba nikamshauri we achana na hio Manzil ipe talaka alafu unaoaje mwanamke mrembo hivyo hata Mimi naweza kukuchapia hapo hebu mpe talaka uoe type B ama au single kama Mimi

KATAA NDOA KATAA NDOA NDOA NI HASARA
 
Broo acha usiseme hvoo mwanamke ni kiumbe hatari akibadilika kweli anamaanisha na huez Amin maamuz yake Hawa wanajua kupretend na wanatujua Sana ukute alikubali kuingia kwenye ndoa akiamn we ni boy* hta akifanya mambo yake hutaeza mfanya lolote mkishaingia tu kwenye ndoa anaanza sasa kufanya hapo utarukia wapi???? Cool broo subir kunyooshwa au usal Sana yaskkte
Bado haiingii akili aiseee
 
Mimi nilijua mkioana kile kiapo cha pale madhabahuni ndo maishaa mtakayoishii ile kupendana kweli,kuvumilianaa kutokusalitianaa weeeh nmeingiaa chamoto nmekionaa kuna watu jamani hawakiogopi kile kiapoo.!me nakiogopaa na namshkuru Mungu mwaka wa sita huuu nakiishii kila nikiwaza kukiendea kinyumee napata hofu moja kali sanaa.!
Kiapo ni formalities kama wanavyoapishwa viongozi wetu. Kuzuga tu ila uhalisia wala watu hawakumbuki kama waliapa. Hivyo viapo naona viondolewe tu maana ni kumdhihaki Mungu
 
Dogo umekoment tu ili kukomenti au una mantiki katika kile ulichokisema? Which part am I grammatically wrong from what I said earlier? Alafu nawe Lamomy umelike kabisa upuuzi aliosema huyo Changchun as unamsapoti kutokana na nilichokisema. Haya nionesheni makosa yangu kwenye ile sentensi, Am keen enough to learn from you guys
🤣🤣🤣🤣 basi yaishe bro
 
Habari za muda huu wanajamii,

Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.

Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi unavyompenda mwenza wako lakini wakati mwingine mambo huwa tofauti na vile ulivyofikiria yanaweza kuwa hasi au chanya.

Je ulipatwa na mshangao gani mkubwa baada ya kuingia kwenye ndoa?

Unaweza uka share na kuwa funzo kwa wengine ambao ni watarajiwa.
Miaka 5 yote ya ndoa sikuwahi kugonga shimo taka (Tigo), siku namtania kwa kumpiga kidole nikashapgaa kuona kinazama chote. Kumuuliza akasema ni mchezo wake siku zote ila kwa kuwa ananipenda alishindwa kuniambia ukweli. Nimemuacha, kumbe alikuwa anafilwa siku zote hizi bila hata mimi kujuwa.
 
Habari za muda huu wanajamii,

Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.

Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi unavyompenda mwenza wako lakini wakati mwingine mambo huwa tofauti na vile ulivyofikiria yanaweza kuwa hasi au chanya.

Je ulipatwa na mshangao gani mkubwa baada ya kuingia kwenye ndoa?

Unaweza uka share na kuwa funzo kwa wengine ambao ni watarajiwa.
habali ya kuzagamuana kila siku…
mwili wote unaniuma
 
Back
Top Bottom