NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,298
- 2,514
Kazi inayofanywa na Mods ni kubwa mno,...baadhi ya comments zenye matusi heavy huwa wanazifuta ....zingekuwa zinaachwa zile waweza kufa kihoro🤧🙌🙌🙌🤧🤣Khaaa ujakutana nao tuu...
Kuna watu wapo very matured kwenye matusi...
Hujibu unabaki unaguna tuu mmmh mmmh 😂😂😂😂