Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kuna issue nilikuwa nafanya melah atoke wapi mi niko single ready to mingle 🀣🀣🀣
Sio upo single tuu..
Pia upo dasalamu et..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ukipatia unaishi kiboss no stress tumekua zaidi ya vile mwanzo kabla ya kuingia, kikubwa mwanaume ishi kwa akili kubwa tu, vaa nafasi ya uongozi na timiza majukumu yako na uvumilie maudhi madogo madogo hawa wenzetu ni kama watoto...
 
Naanzaje kulea dume zima na vipira vyake 🀣🀣🀣
Yy apambane na shangazi yake mlezi wa wana
Daaah aiseeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Hapana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…