Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Mi nilienda moja kwa moja....
Na sms tamu tamu.
Nashangaa jamaa kapaniki. .😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na humu anatumia jina la kike kabisa na alisema anataka mtu kule kwenye love connect sijui😁😁😁

Nikakubali tuu kusema faza nisamehe mimi 🙏🙏🙏🙏
Ndo ukome, shid huulizi kwa wakubwa wako😄😁
 
Wanasaidia kulea na majukumu mengine ya nyumbani.
Au mnataka muwe mnapewa pesa na nyie?

Mchango wa mwanamke unatokana na wewe umemshape vipi, yeye amekupa cheo kama kichwa cha familia, anasubiri wewe utoe amri yeye afate.
Sasa kama mwanaume ndo unawaza hivyo aisee basi una mzigo mzito sana kama umeoa.
Si suala la kumuomba Mungu Mzee mwenzangu
 
Back
Top Bottom