Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Si kwa wanawake wote lakini as it is there is always exception in every general ruleNa huu ukweli mchungu ambao wanawake wanaupinga.......ngoja niishie hapa nisijeonekana nawavunjia watu heshima bure
Basi tushajua huyo sio nyoka....ngoja tubadili mbinu
Atakua ni yule wa πKuna mmoja alisema hivi hivi .
Nilipo mfata PM sasa
πππππ
Kumbe ni njemba ilianza kunitukana aiseeeee nikajutra
Ndo ukome, shid huulizi kwa wakubwa wakoππMi nilienda moja kwa moja....
Na sms tamu tamu.
Nashangaa jamaa kapaniki. .πππππππππ
Na humu anatumia jina la kike kabisa na alisema anataka mtu kule kwenye love connect sijuiπππ
Nikakubali tuu kusema faza nisamehe mimi ππππ
Hivi hujui huyo ni mtu wangu KikulachoChako njoo hukuMs R njoo PM tuyajenge[emoji39]
Hivi wewe mwanamke nikupe nn??unaoa kwel [emoji39][emoji39]au unatania kam mim
Si suala la kumuomba Mungu Mzee mwenzanguWanasaidia kulea na majukumu mengine ya nyumbani.
Au mnataka muwe mnapewa pesa na nyie?
Mchango wa mwanamke unatokana na wewe umemshape vipi, yeye amekupa cheo kama kichwa cha familia, anasubiri wewe utoe amri yeye afate.
Sasa kama mwanaume ndo unawaza hivyo aisee basi una mzigo mzito sana kama umeoa.
π€£π€£π€£Khaaa ujakutana nao tuu...
Kuna watu wapo very matured kwenye matusi...
Hujibu unabaki unaguna tuu mmmh mmmh ππππ
Kumbe ndio maana anasumbua mtoto mzuri......ππππHivi hujui huyo ni mtu wangu KikulachoChako njoo huku
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bora tufanye hivoBasi tushajua huyo sio nyoka....ngoja tubadili mbinu
Kabsaa naomba msaada wakoKumbe ndio maana anasumbua mtoto mzuri......[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mhm mimi na wewe si tulisha maliza πππnasubir
nipumzshe figili mzee juz nmeumbuka ,,,nlienda choo public nkafanya yangu sasa choo ikazngua kuflash π°ile natoka nkapshana na bonge la HB,,akaona ule ukijani aloooh alichekaaaaaaaa ππ
πππππππππAtakua ni yule wa π
Usijali mkuu.....ngoja nimcheki kwenye runinga nijue nimpe adhabu gani
Kuna muda mnatembea kama mlivyozaliwa lkn hamna anayestuka baina yenuππππWanakuwa kama wapo kambini kumbe ni wanandoa......kama story hamna si mnavuana nguo tu
si ulsema m mlafi wew ukanfukuzaπ°Mhm mimi na wewe si tulisha maliza πππ
ππππππNdo ukome, shid huulizi kwa wakubwa wakoππ
Si nmekuambia unaenda KFC kula kukunipumzshe figili mzee juz nmeumbuka ,,,nlienda choo public nkafanya yangu sasa choo ikazngua kuflash [emoji27]ile natoka nkapshana na bonge la HB,,akaona ule ukijani aloooh alichekaaaaaaaa [emoji24][emoji24]