Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Mwanamke kwenye ndoa azae tu watoto Zaid ya hapo n k tu atakupa

Ukiondoa hivo viwil n bas hakuna chamaa kingine Zaid utakerwa Tu
 
Habari za muda huu wanajamii,

Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.

Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi unavyompenda mwenza wako lakini wakati mwingine mambo huwa tofauti na vile ulivyofikiria yanaweza kuwa hasi au chanya.

Je ulipatwa na mshangao gani mkubwa baada ya kuingia kwenye ndoa?

Unaweza uka share na kuwa funzo kwa wengine ambao ni watarajiwa.
Kulala uchi kila siku!!!
 
Dogo umekoment tu ili kukomenti au una mantiki katika kile ulichokisema? Which part am I grammatically wrong from what I said earlier? Alafu nawe Lamomy umelike kabisa upuuzi aliosema huyo Changchun as unamsapoti kutokana na nilichokisema. Haya nionesheni makosa yangu kwenye ile sentensi, Am keen enough to learn from you guys
Madogo wa form six hao, Waki unga unga vocabulary, Wana hisi nawe wale wale 🤣 😂
 
Back
Top Bottom