Hamna chuo pale, Life style mbovu sana niliwahi kumutembelea rafiki yangu alikua anakaa mabibo hostel, nilihuzunika sanaWatu wapo pale kozi za mkumbo ili waonekane wanasoma ud
🤝🤝🤜🤛Hakuna chuo bora Ila kuna MTU bora ndani ya chuo .
Muhas inajitegemea now, Udsm wana collega yao ya Afya ipo mbeya kama sijakoseaKwenye Afya, UD yao ni MUHAS, mbna inajulikana.
Hongera pia.
Soma maelezo yangu kwa umakini, utaelewa kitu.Muhas inajitegemea now, Udsm wana collega yao ya Afya ipo mbeya kama sijakosea
NB : Nimesoma MUHAS wakati tayari ishajitenga na UDSM
UDSM hauwez kusoma law kwa miska 3. Ni kuanzia miaka minne. Na ili upate NAFASI ya kusoma law udsm lazma uwe na angalau dvsn 1-7. Ya kidato Cha sita.Nilicho kuja kugundua yaan ili uwe Bora Zaidi ni wewe mwenyewe kua Bora Zaid na zaidi.
Nidhamu, kujituma,kufanya kazi kwa bidii bila kusahau kumtanguliza mwenyezi Mungu.
Hili Hali husiani na chuo maana course yoyote mfano law inasomwa miaka mi 4 SAUT WAKATI mzumbe,udsm, udom, Tumain ni miaka mi 3 na masomo ni Yale Yale.
Huko Sweden mumempeleka chuo cha kueleweka?Hamna chuo pale, Life style mbovu sana niliwahi kumutembelea rafiki yangu alikua anakaa mabibo hostel, nilihuzunika sana
Mdogo wangu alipaswa kuwa pale first year mwaka huu alikua admitted kozi mojawapo ya Engineering, tumeforce tumempeleka Sweeden
Yes one of the best Lund universityHuko Sweden mumempeleka chuo cha kueleweka?
Mie nilienda VETA, kwenye mtihani wa BASIC DRIVING nikaongoza darasan! You know 😂Ila VETA pia nimeenda na imeniokoa sana.
Wasomi nendeni pia VETA.
Wewe ni uko Outdated sana UDSM toka 2015 wanatoa MD na kwasasa wana DDS hata hiyo MUHAS ilikuwa UDSM, Pia kwa Afya UDOM bado bado ni vile tu unafuu wa Ada CUHAS&KCMCU ni far better kuliko hapoInategemea unataka kusoma nin,
Kwa watu wa Afya, UDSM huwa hatuiwazi kabisa 🤣 tunawaza Muhas na UDOM tu,
So usiwaze kila mtu mwenye akili anaenda Udsm, huko kwa wanaosomea siasa na vitu vya ajabu ajabu kama mazingira na international relations 🤣🤣
Ulikuwa sahihi kile Chuo kama huna ndonga ya kutoenda na Usasa na Mambo ya mjini mjini unapoteaWhile my daughter was attending JKT nilimwombea chuo. Sikupenda UDSM kutokana na life style ya pale, though her pass was good enough.
Niliomba chuo kingine.
Ulikuwa sahihi kile Chuo kama huna ndonga ya kutoenda na Usasa na Mambo ya mjini mjini unapoWhile my daughter was attending JKT nilimwombea chuo. Sikupenda UDSM kutokana na life style ya pale, though her pass was good enough.
Niliomba chuo kingine.
Sio UDSM pengine ni Nchi nzima sasa wenzetu Makerere wameona hilo baadhi ya Programmes zisizo na maana wamefuta Mtu unasoma BA in history yanini, sijui BA in Philosophy wakat akina Aristotle washapotea sijui huko karne ya 5ila alichosema ni kweli,
kozi ambazo ni dili kwa udsm ni chache sana , ambazo zinapatikana COET, CONAS na UDBS na MBEYA kule college of health ya udsm. nje ya hapo unaenda kupoteza muda tu.
ukweli ni kwamba hakuna sababu ya kwenda udsm kama unaenda kusoma kozi tofauti na za hizo college
Hizi waga ni hoja wa kipimbi sana et Majizi wote wametokea hapo ulitaka wasome wapi!? Na wasichokijua utakuta kuanzia VC, maDVC sijui Dean Principal wa hivyo vyuo ni zao la UDSM hapo ndio nachooa kabisaSasa wangesomea wapi na chuo kilikuwa ni hicho tu mkuu. Ni sawa na kusema muhimbili imefanya pasuaji za kibingwa nyingi kuliko hospitali yoyote wakati pengine yanyewe ilikuwa ikitegemewa kwa jukumu hilo..
Sijawahi kuelewa utukufu wa UDSM unatoka wapi unless mtu awe ni mwanamkoa mwenzetu ambaye ndoto ya kufika mjini dar isingefanikiwa bila kupitia UDSM
Ujasi itengwe ujasi imetulea sana yaan ukimaliza kupata vitu vya Buku kwa Bi mzuri/ Sia Mdudu unazunguka kwa Big hadi mida mibaya unarudi Block B huko😁kwa kweli sikupita ila hata sasa nikipata hiyo nafasi sitaitaka ,nitachagua udom tu, kwafusra za pale ngongona hauniambiii kitu asee
Wewe kijana mdogo.Inategemea unataka kusoma nin,
Kwa watu wa Afya, UDSM huwa hatuiwazi kabisa 🤣 tunawaza Muhas na UDOM tu,
So usiwaze kila mtu mwenye akili anaenda Udsm, huko kwa wanaosomea siasa na vitu vya ajabu ajabu kama mazingira na international relations 🤣🤣
Mimi nilichaguliwa kusoma pale Iła nilikacha baada ya kupata offer ya kwenda kusoma nje ya nchi kwani elimu ya kukariri tu bila reasoning sikuitaka.Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto yangu kusoma pale ila haikuwezekana. Nitaeleza kwanini.
Kwa upande wangu nilishindwa kujiunga na UDSM kwa sababu kwenye maombi yangu sikuambatanisha baadhi ya vitu hivyo maombi yangu kutofanyiwa kazi. Nakumbuka siku chache kabla ya Marticulation exam pale Arusha Tech ndo nilipokea majibu kuhusu makosa niliyofanya wakati wa kutuma maombi. Ikabidi nikajiunge na chuo kingine ambacho bado hawakuwa wamefika deadline ya kutuma maombi.
Je, wewe kwanini ulishindwa kusoma UDSM undergraduate?
Kwa big au makuti😁Ujasi itengwe ujasi imetulea sana yaan ukimaliza kupata vitu vya Buku kwa Bi mzuri/ Sia Mdudu unazunguka kwa Big hadi mida mibaya unarudi Block B huko
Soma swali utaelewa jibu.Hizo tabia zinahusika vipi na UDSM?
Hiyo ya miaka mnne unasimuliwa? Mengine yote ni kweli Ila iyo ya law eti udsm miaka minne ileteee ushahidi??UDSM hauwez kusoma law kwa miska 3. Ni kuanzia miaka minne. Na ili upate NAFASI ya kusoma law udsm lazma uwe na angalau dvsn 1-7. Ya kidato Cha sita.