Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

Ndio destiny... Kila mtu anaona kila kitu kinawezekana ila uhalisia ukiingia, watu wanapoteana mkuu
 
Zipo courses ambazo ni maarufu kutoka COET, UDBS & CONAS. Nje ya hapo pia zipo courses ambazo ni mapendeleo ya mtu na inampatia fursa japo tumekuwa na kasumba e.g Fine Arts, Theatre Arts, Music, Physical Education & Sports Sciences
 
Mwamba alikua anakuja dom kipind hicho hakuna hata miti ni jangwa ,alambalamba mpka lips eti mjanja wa mjini 😁😁
Hahahahaha! arudi saivi kuna vivuli vya kutosha, sema ugumu wa maisha hata hatukuvitumia hivo vivuli, muda usio wa Class tumelala hostel kupunguza dakika za kuhisi njaa
 
Na sie wa dom huwa hatupendi kujitambulisha tunajificha na kujiona luza🀣
Rafiki yangu mmojaγ€€wa SUA alifika UDOM bondeni kule CBSL and COBEγ€€Kwa rafiki yake mwingine, akanipigia simu.

Yeye: Nipo chuoni kwenu UDOM.
Mimi: Ooh! Karibu sana, upo maeneo gani tuonane?
Yeye: Nipo maghorofani huku!
Mimi: Mwenyewe nipo ghorofani, mpe mwenyeji simu tafadhali.

Nilivokata simu nilicheka sana, alijua maghorofa ni ya kumulika kwa tochi kama SUA πŸ˜‚
 
Sisi wa CHAS ndio tulikua tunaunga unga kipindi hicho sjui sasa hiviπŸ€”
 
Sisi wa CHAS ndio tulikua tunaunga unga kipindi hicho sjui sasa hiviπŸ€”
Saivi wanajitegemea sema tu baadhi hutumia hostel za Coed, ila wao CHAS utasikia "sisi sio UDOM tunajitegemea" kwa sheria na msuli wa kule, ni pa moto sana wakifuatia CIVE halafu ndiyo tunafatia CNMS sasa.
 
Hahahahaha! arudi saivi kuna vivuli vya kutosha, sema ugumu wa maisha hata hatukuvitumia hivo vivuli, muda usio wa Class tumelala hostel kupunguza dakika za kuhisi njaa
Mimi huko iyumbu nilipata totoz moja matata ya kigogo ilinisaidia sana kumaliza chuo bila njaa za kijinga hauwezi amini na viti virefu pale kwa big na maisha club nilienda ,baada ya kuhitimu na kurudi kuongeza elimu
 
Saivi wanajitegemea sema tu baadhi hutumia hostel za Coed, ila wao CHAS utasikia "sisi sio UDOM tunajitegemea" kwa sheria na msuli wa kule, ni pa moto sana wakifuatia CIVE halafu ndiyo tunafatia CNMS sasa.
Hakuna wala bata kama CHAS labda kwa sasa sijui🀣
 
Combination of Beautiful Girls (CBG) 😁😁

Ila maisha, ukiwa high school mtu anaweka ego ya u_PCM Ila baadae anakuja kutawaliwa na mtu wa HKL

Ni utoto tu na kukosa exposure huwa kunasumbua
Hr au mwanasiasa anamuendesha Injinia au Doctor πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€maisha ni fumbo jamani
 
Wanateseka wale mkuu, Hadi mifumo inawasumbua mara paap mtu hatambuliwi na system, achilia mbali masomo sasa. Ila UDOM πŸ™Œ.

Siku moja nilicheka, nipo zangu Benjamin Mkapa Hospital
Kuna jamaa akaingia sehemu fulani anatengeneza ID, hiyo ni saa mbili na paper ya UE ni saa tano.
Nikajiuliza aliluwa wapi hata jana tu, CHAS bhana πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…