Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

Mzee Kiranga ulikuwa na division III ya 15? Usingepata nafasi.

Nilipiga one. But that doesn't mean much.

Ila tulishaanza kuondoka Tanzania. Dada yangu mdogo hata sekondari (O Level) hakusoma Tanzania alisona Uingereza.

Tanzania shule hazina walimu, hazina vifaa, matatizo kibao, divisions zake, hususan za miaka hiyo, hazina maana.

Unaona vijana siku hizi wanapata one kama zinagawiwa kwa sadaka.
 
Combination of Beautiful Girls (CBG) 😁😁

Ila maisha, ukiwa high school mtu anaweka ego ya u_PCM Ila baadae anakuja kutawaliwa na mtu wa HKL

Ni utoto tu na kukosa exposure huwa kunasumbua
Hahahaha miaka ya nyuma tupo o level dada mmoja alikua anasoma sayansi so sisi tunaosoma art alikua anatuona mapimbi flani, full mashauzi hata kumtongoza hatuwezi, huku na huko tumekutana udsm wote tunapiga education.... tukiwa lecture alikua ananiangalia kimawenge sana halafu gangster sina story nae..
 
Woyooooooh!!
 
Huu uongo!
 
Ila itabaki kuwa hukupita UD, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hayo mengine ni kujilisha upepo tyuuh.
😁kwa kweli sikupita ila hata sasa nikipata hiyo nafasi sitaitaka ,nitachagua udom tu, kwafusra za pale ngongona hauniambiii kitu asee
 
😁kwa kweli sikupita ila hata sasa nikipata hiyo nafasi sitaitaka ,nitachagua udom tu, kwafusra za pale ngongona hauniambiii kitu asee
Aaaah wapiii, utakavyo changamkia hiyo fursa, km sio wee vile.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aaaah wapiii, utakavyo changamkia hiyo fursa, km sio wee vile.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Udom naijua vizur kipindi hicho nauza kush na vilevi changamshi , na kudalalia wachuchu wazuri kwa wakubwa wa dom hauniambii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…