Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Tangu lini kidumu kikamilikiwa. Kidumu kinabaki kuwa kidumu kamwe hakimilikiwi. Kazi yake ni kuziba ufa tu na si kujenga
 
Tangu lini kidumu kikamilikiwa. Kidumu kinabaki kuwa kidumu kamwe hakimilikiwi. Kazi yake ni kuziba ufa tu na si kujenga

Hivi inawezekana KIDUMU cha PWAGU kikawa ndio DUMU la PWAGUZI at the same time?
 
Mzima sana. Ukinikosa hapa si unanitafuta PM? Au hunipendi kama zamani? Hebu niwozap kwanza nimeumisi mwandiko wako.

Yaani we kizee unapenda PM aiseee, lini utapenda na AM?
 
hizo kelele ndo zenyewe sasa..wananikosha sana

mmmh

unakuata mtu anapiga mayowee kabisaa
uwii uwiiiii mpaka watu wote eneo hilo wanajua kunamtu anachapwa
 

kuongea habari yoyote wakati ule ni maraufuku

4.sipend taa izimwe/kama mpenzi wako anapenda taa izimwe ni bora mnunue zile taa za rangi zenye mwanga hafifu au muwashe mshumaaa
5.hiii inategemea umeashika wapi mtu kukukatalia mwili wake ki ukweli ina kuturn off lakini vipi kuhusu kushika sehemu ambozo ni kero mfano kuingiza kidole mlango wa pili???? inakua kero
so angalia na hili
 
Utamvua nguo zote.. kuna nguo moja ya mwisho kumvua ndo ugomvi!! Mpaka umvue utumie nguvu za kutosha..

Hahahhah, kama ulishanizingua utavua zooote but ya mwisho nikipenda nisipopenda navaa nasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…