Kitu gani umejiuliza sana lakini hupati majibu?

Kwann vijana wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile pamoja na hatari iliyopo?
 
Kwa nini anga linaonekana giza wakati wa usiku hata kama kuna mabilioni ya nyota angani?
Anga linaonekana giza wakati wa usiku kutokana na mchanganyiko wa sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na:

1. Umbali wa nyota: Nyota ziko mbali sana na dunia yetu, na hivyo hazitoi mwangaza wa kutosha kuziba pengo la giza linalotokana na kutokuwepo kwa mwanga wa jua.

2. Uwepo wa wingu au vumbi angani: Wakati mwingine anga linaweza kuwa na wingu au vumbi ambalo linazuia mwanga wa nyota kufika ardhini.

3. Upotevu wa mwanga: Sehemu kubwa ya mwanga unaotokana na nyota unapotea kabla haujafika duniani kutokana na mambo kama vile diffraction, absorption, na scattering.

4. Kuangalia angani kutoka sehemu yenye mwanga mwingi: Mwanga unaotokana na taa za barabarani, taa za nyumba, na taa nyingine za mijini hupunguza uwezo wa macho yetu kuona nyota angani, na hivyo kufanya anga ionekane giza.

5. Mzunguko wa Dunia na mabadiliko ya mwanga: Wakati wa usiku, sehemu ya dunia inapoelekea mbali zaidi na jua, mwanga wake unaanza kupungua hatua kwa hatua, na hivyo kusababisha anga kuwa giza.

Hata kama kuna nyota nyingi angani, bado sababu hizi huweza kufanya anga ionekane giza wakati wa usiku.
 
Hayana maana, wewe ndo unayapa maana kwa kufanya mambo yaletayo furaha.

Kama una dini basi tekeleza kusudi la Mungu pia.
 
Mama angu Ana 68 amenipa ushuhuda kuwa kweli ukizeeka damu haiwi nyekundu kama ya vijana inauzito flani machoni anasema kwenye vile vipimo vya full blood Count unaziona kabisa damu za wazee hazina wekundu wa vijana😅
 
Kwann vijana wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile pamoja na hatari iliyopo?
Ukiachana na ushawishi wa picha za ngono, mpaka neno fira limesanifishwa maana yake huo mchezo upo tokea kitambo ila umekatazwa.

Binadamu tunapenda kufanya vilivyokatazwa, kuna namna hofu ya kugundulika inasisimua.

Lakini pia kuna neva nyingi zipo kwenye sehemu ya haja wakubwa wanasayansi wanasema zinaleta hisia zikiguswa....
 
Kwa hio Allah alimruhusu shetani aendelee kutesa hapa duniani kwa sababu mwisho wake ni motoni?
Mkuu, Allah ktk viumbe alivyo umba hakuna kama binaadamu, malaika wali thibishiwa na ALLAH, na walikubali. Alicho fanya shetani ni kumuomba Allah ambakishe na uwezo wake na pia awe wa mwisho, ALLAH aka kubali ombi lake na ALLAH aka muahidi adhabu ilokuwa kubwa kupitiliza aka sema fresh, as long as umeniacha hadi mwisho wa Dunia, akasema huyo binaadamu ulie muumba Nitampoteza , akaambiwa Nita wapa silaha za kukuangamiza (kujikinga na wewe) ispokua kwa wasio Tumia,
note : alimchukia binaadamu Toka ana umbwa, amdharau nakumuona si kitu kiasi cha kuwashawishi wenzake na malaika wamkatae , pia aliwambia wenzake udhaifu wa binaadamu, kama sio Muslim innah rirah ila kama Muslim basi tusome na tuhudhurie darasa, ALLAH ndie mjuzi
 
Mwaga experience queer
 
Sababu ya kijinga sana hii.
Sababu ya kijinga?, unaijua sababu ya kijinga wewe?, sababu yake ndio kitu kibaya ki kiingia ktk familia ina pagalanyika kama punje za mahindi, tena mtu yupo radhi hadi ku ua, ila sifungii code, baki hvo hvo na uelewa wako
 
Kwenye ofisi za serikali ni sheria
 
Kusudi la Mungu kutuleta duniani tupendane sisi(ujamaa)na sio kupenda vitu.Vitu tuvitumie viwe baraka kwetu na kwa wengine kwa upendo.Sio tuwatumie watu kupata vitu.(unyonyaji).Falsafa ya kuzaliwa uchi ni kukumbusha hukuja na kitu duniani na hutaondoka na kitu utakapokufa utarudi kama ulivyozaliwa.1)TUPENDANE SISI KWA SISI BINADAMU WOTE.
2)Tumpende Mungu wetu aliyetuumba na kutuleta duniani.
Kesho siyo ya kwetu kesho yetu anayo Mungu.Baada ya kufa kuna maisha yanaendelea Roho zetu zitavuna kile tulichopanda hapa duniani,jinsi tunavyoishi maisha yetu hapa duniani siku ya mwisho tutatolea hesabu matendo yetu yote.Tuishi kwa kupendana tuwekeze katika kupendana na sio katika vitu.Dunia/ulimwengu na vyote viujazavyo ulimwengu ni mali ya Mungu.Hatujui kesho yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…