Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Watu kibao humu wameeleza visa vya kichawi walivyoshuhudia kwenye uhalisia wa maisha yao sasa utasemaje uchawi umenichagua mimi tu?

Kuna watu hadi leo hii pamoja na ukubwa wao ila hawajawahi kumshuhudia live shoga(gay) katika maisha yao ila wanajua mashoga wapo, sasa kama wewe hujawahi kukutana na matukio ya kichawi basi usiseme hakuna uchawi.
😂😂😂Asa mashoga hata video zao google zipo, mpaka sheria zinatungwa ni coz wapo, na ukitaka kushuhudia unaweza...😂ila Mambo yenu yanatokeaga akilini tu unaona unaskia bac kwenye camera hawaonekani cjui kisa nguvu za Giza mnasema roho visingizio kibao..ndo maana nasema hujakatazwa kuamini Kama yapo yapo kwenu tu...sio kwa watu wote huwezi ona mtu anaebisha Kama Kuna mashoga au Kama Kuna nchi inaexist inaitwa china au USA hata Kama hajawahi kwenda ila evidence iliyopo inatosheleza...ila uchawi evidence zake ndo hizo personal tu vitu vya akilini tu that u can't prove utaishia kusema macho ya kiroho coz Hilo Chaka ndo mnapojifichia uchizi wenu
 
Labda unachanganya mambo hauelewi nini hasa unachokipinga, mimi nimeeleza kisa nilichokishuhudia chenye kuhusu uchawi ila ukasema kwamba huo uchawi umetuchagua sisi kwamba ndio tunao ushuhudia ila nyie wengine hamjawahi kushuhudia ndipo nikakwambia kwamba hadi leo hii wapo watu ambao hawajawahi kushuhudia kuona shoga live, sasa mara umetoka tena kwenye kushuhudia uchawi unakuja na hoja ya uthibitisho.

Kama haujawahi hata kushuhudia tukio la kichawi na unapinga wale wanye kueleza shuhuda zao ambao wameshuhudia matukio ya kichawi, sasa sijui unataka uthibitisho upi? Hizi shuhuda ni uthibitisho wa kwamba hili jambo lipo kwenye jamii na kuna hadi nchi ambazo wameweka sheria za kukataza kujihusisha na uchawi, sasa ikiwa wewe binafsi haujawahi kushuhudia unakuwa sawa na wale ambao hawajawahi kushuhudia shoga live.

Au unakusudia uthibitisho wa kutaka kujiridhisha kwamba je ni kweli hicho kinachoitwa uchawi ni kweli uchawi au ni jambo tu lengine ila si huo uchawi?
 
Skia...mi naweza nikaumwa malaria sijui ni malaria, naona kichwa kinauma, natapika, homa etc...ila sijui ni malaria ila Jana yake mtu aliniambia utanikoma nakuambia utajuta... obvi nitajua ni yeye kanifanyia mauza uza mpaka nikawa vile...ila tofauti na mtu anayejua malaria ni Nini, sababu na dalili na suluhisho zake hawezi interpret hio scenario Kama uchawi...now utakuja kusema hoo cjui malaria ni ugonjwa wa kimwili etc...una move goal posts tu...zamani magonjwa na matatizo mengi yalikuwa yakidhaniwa ni uchawi ila Sayansi ikaja kukuelezea cause, effects na solution ndo maana magonjwa yanapungua na life span inaongezeka. Ukisema kitu ni uchawi au Cha kiroho then wat, what's the cause of it, what's the effect, what is the solution, unatofautishaje na other natural explanations... na unatofautishaje na wengine ambao wanasema same scenario ni uchawi wa namna Yao walioamini..mfano mzungu anasema alien, mwingine anasema jini mwingine pepo mwingine roho ya Giza mwingine jinamizi mwingine samaki mtu..mwingine shetani..everyone can make up something na atasema ameona ana ushuhuda..ushuhuda sio ushahidi ndo maana unakukosha wewe na wajinga wenzako when u come to smart ppo wanakuona tu Kama pumba lingine
 
Nishasema sana kwamba uchawi sio story za kusimulika tu bali ni kitu ambacho tuna deal nacho katika uhalisia wa maisha, watu wanapata athari za uchawi katika mambo tofauti tofauti kuanzia kiafya hadi kiuchumi na athari huondolewa na maisha yanaendelea. Na mengi tu hufanyika yakitambulika kama uchawi na athari ya kile kilichokusudiwa kweli kitatokea na ndio maana nasema uchawi tunadeal nao katika maisha halisi na si hadithi.

Pamoja na yote hayo bado tunaenda hospitali au kutumia mitishamba pia kwa sababu tunajua kuna magonjwa ya kibaolojia sio uchawi, au kuna changamoto zinahitaji utaalamu wa kisheria au ujuzi mwengine na si mganga huo ndio uhalisia ulivyo, hayo mambo ya imani potofu au uongo na utapeli hayapo tu kwenye imani ya uchawi bali yapo kwengine pia mbali na uchawi, kuna hadi upotoshaji kwa kutumia mgongo wa sayansi.

Na muhimu kuelewa kwamba sayansi ni suala zima la utafiti na ndio maana si ajabu kuona nadharia tulizonazo leo za kisayansi baada ya muda sayansi ikaonyesha hazikuwa sahihi, kwahiyo hilo suala la kwamba watu waliamini huko walivyoamini na sayansi ikaja kuelezea mambo tofauti basi hiyo ndio sayansi, sayansi sio kama mfanyavyo nyie kwamba mnapinga jambo kisa tu et hakuna maelezo ya kisayansi, ukipinga kitu uwe na hoja za msingi. Wazee wetu huko walitumia mitishamba na kujua mizizi gani unatibu ugonjwa fulani pasina kuwepo maelezo wala uthibitisho wa kisayansi.
 
Hio kutumia mitishamba na kutibu ndo Sayansi yenyewe..Sayansi sio lazma uvae lab coat...kingine
Unatofautishaje uchawi na mambo ya kawaida.. usiniambie sijui umeona cjui umeskia..niambie one thing ambacho ni uchawi tu ndo explanation hakiwezi kuwa explained bila uchawi..shida zipo, magonjwa yapo, ndo maisha..ukisema kitu tu ni uchawi unakuwa unaleta maswali mengi kuliko majibu
 
Ingekuwa kutumia mitishamba tu ni sayansi basi kile kipindi cha corona Magufuli asingesemwa kuwa anapingana na sayansi katika kukabiliana na ugonjwa wa corona, kwa sababu yeye alisema watu watumie hiyo mitishamba na hadi akataka kuagiza ile dawa ya asili kutoka Madagascar, sasa kama kutumia mitishamba tu ni sayansi kwa nini watu walisema Magufuli anapingana na sayansi? Na kwa nini ile dawa ya Madagascar isingeonekana ni sayansi? Jibu jepesi ni kwa sababu hakukuwa na ushahidi wa kisayansi kuthibitisha kuwa hiyo dawa ya asili ya madagascar inatibu kweli corona hata kama kuna watu walitumia huko na kupona.

Tunaposema kitu fulani ni uchawi tunazungumzia chanzo kilichosababisha hiyo athari au matokeo fulani ni uchawi, tunaposema fulani chizi karogwa au hawezi kushika ujauzito kwa sababu ya kurogwa basi anatibiwa kuondoa huo uchawi na kweli mtu anapona uchizi au kushika ujauzito.
 
Cause u don't know what science is...Sayansi ni body of knowledge, Sayansi ni process ya kutatua matatizo...ukiumwa ukajaribu mtishamba ukapona utakuwa umetest na umepata results ukifanya Mara kwa Mara with the same results utasema kwa wengine coz nao watapata same results that's Sayansi...science sio lazma uwe NASA au Muhimbili ndo uapply science is everything n everywhere ndo maana nasema hamuelewi wat science is...
Kwa mifano yako ya utasa na uchizi how do u differentiate a medical condition na uchawi...coz we unaweza sema ni uchawi daktari akasema ni medical condition na wote wakatibiwa..hata if uchawi wako ukatibu cjui uchizi au utasa Kuna explanation kibao...labda hio mitishamba ni dawa, unless apone kwa kupigiwa kelele na mchungaji hapo ndo we might raise eyebrows . otherwise wat is witchcraft to u it's a natural occurrence to another ndo maana nasema uchawi upo kwa unayeamini tu ukija kwenye real world huwezi sema uchawi upo afu ukaanza story na excuses mbona jua lipo usiku upo hatubishani maji yapo au mashoga au china ku exist ila uchawi since ni kitu Cha akili kila mtu analake
 
Niliishi nyumba moja magomeni mikumi kwa miaka 7 na wenye nyumba ni wachawi bibi na babu, usiku wa manane nikiamka kwenda uani (kilikua choo cha nje) naskia wanacheza ngoma na kuimba hapo sebuleni kwao,
Siku moja bibi akaniambia wameletewa nyama pori wakanipa hapo sikula kile chakula nkakiweka ili asubuhi niweke kwa mfuko nkamwage maana sikuzielewa zile nyama zilikua kama zimekaushwa hivi ila ukiipasua kati ni mbichi kabisa na waliniwekea nyama nyingi sana, asibuhi mapema naamka nimwage chakula nkakuta nyama zote hazipo na hakukua na panya mle ndani,
Siku nyingine nilisafiri kwenda kijijini nkamuomba babu alale chumbani kwangu ili kusiibiwe (chumba kilikua cha nje) kipindi hicho vibaka wa usiku walikua wanaiba sana, na mara nyingi nilikua nawaona wanachungulia dirishani,
Sasa kurudi safari nilikaa huko kama wiki 2 nkakuta kapeti limetoboka toboka sanaa kama mtu karukaruka na viatu vyenye ncha kali sana nkajua tu hawa washenzi walihamishia ngoma zao chumbani kwangu nkavunga tu wala sikuuliza maisha yakaendelea.
Duuh ..! Una roho ngumu. Kuanzia zile nyama kesho yake tu ningehama
 
Uchawi upo unatajwa hata katika BIBLE Kule misri kati ya Musa na Farao....Musa akimwakilisha Mungu Farao katika uchawi...Mfano kubadili fimbo na kuwa Nyoka nk. ....
 
Uchawi upo unatajwa hata katika BIBLE Kule misri kati ya Musa na Farao....Musa akimwakilisha Mungu Farao katika uchawi...Mfano kubadili fimbo na kuwa Nyoka nk.
 
Uchawi upo unatajwa hata katika BIBLE Kule misri kati ya Musa na Farao....Musa akimwakilisha Mungu Farao katika uchawi...Mfano kubadili fimbo na kuwa Nyoka nk. ....
Usituletee novel na hekaya Kama evidence...kitabu hicho kinaamini punda na nyoka anayeongea...dunia ni flat..jua linazunguka dunia na linaweza kusimama..nyota ni ndogo kuliko mwezi na zinaweza anguka duniani...etc.. so Tuletee uthibitisho wa maana
 
Bibi yangu wa mwisho ni wale wabibi waliolewa na wasomi nae anajiona msomi. Msafi sana kwake kuna mkungu basi ukifika kutwa kuokota majani km yuko hotelini.
Sasa pale kwake kuna uwa/fensi alivyoka ndani akamuona jongoo huyu huyu jangoo mweusi mkubwaaa. Akachukua banio la moto na kumbana ili mrushe nje eeenh bwana weeee alimkamata vizuri alivyoanza kumbana ili mrushe nje akashtukia mguu unavunjika, kila akikazana na mfupa nao unavunjika. Yaani unaliaa teh teh teh akafanikiwa kumdodosha lakaini bibi hakuweza teena kutembea tena. Mguu ulivunjika mara kadhaa alilazwa St fransis akawekewa hogo. Mpaka kesho bibi anatembelea magongo. Yule jongoo alizolewa tuu akawekwa nje aendelee na safari yake mwanaharamu yule.
Aisee..
 
Usituletee novel na hekaya Kama evidence...kitabu hicho kinaamini punda na nyoka anayeongea...dunia ni flat..jua linazunguka dunia na linaweza kusimama..nyota ni ndogo kuliko mwezi na zinaweza anguka duniani...etc.. so Tuletee uthibitisho wa maana
Vitabu vya dini biblia na qurani vimeeleza kuhusu uchawi...
 
😁😁 hata mimi nilipokuwa kijana mdogo kama wewe, nilikuwa siamini kuhusiana na uchawi, nilikuwa silali hadi usiku wa manane, mda mwingine najificha nje labda kama ntaona kitu chochote, sijawahi kuona chochote, nilipotembea sasa huko duniani, nmekutana na mambo ambayo sikuyaona hapo kabla. Bado naendelea na uchunguzi kama ni uchawi au hallucination, japo kuna moja, unamwacha mtu nyumbani halafu unamkuta mbele ya safari, hii haikuwa hallucinations. Sidhani kama huo moyo wa kuwarekodi utaupata zaidi ya kufungulia turbo.
mi nasoma tu comment za watu humu wanaosema eti uchawi haupo,watu tushakutana na mengi sana hii dunia....yani kwa kifupi tu ni kwamba
UCHAWI UPO
 
Back
Top Bottom