Skia...mi naweza nikaumwa malaria sijui ni malaria, naona kichwa kinauma, natapika, homa etc...ila sijui ni malaria ila Jana yake mtu aliniambia utanikoma nakuambia utajuta... obvi nitajua ni yeye kanifanyia mauza uza mpaka nikawa vile...ila tofauti na mtu anayejua malaria ni Nini, sababu na dalili na suluhisho zake hawezi interpret hio scenario Kama uchawi...now utakuja kusema hoo cjui malaria ni ugonjwa wa kimwili etc...una move goal posts tu...zamani magonjwa na matatizo mengi yalikuwa yakidhaniwa ni uchawi ila Sayansi ikaja kukuelezea cause, effects na solution ndo maana magonjwa yanapungua na life span inaongezeka. Ukisema kitu ni uchawi au Cha kiroho then wat, what's the cause of it, what's the effect, what is the solution, unatofautishaje na other natural explanations... na unatofautishaje na wengine ambao wanasema same scenario ni uchawi wa namna Yao walioamini..mfano mzungu anasema alien, mwingine anasema jini mwingine pepo mwingine roho ya Giza mwingine jinamizi mwingine samaki mtu..mwingine shetani..everyone can make up something na atasema ameona ana ushuhuda..ushuhuda sio ushahidi ndo maana unakukosha wewe na wajinga wenzako when u come to smart ppo wanakuona tu Kama pumba lingine