Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024
Mme
Hiyo ndio orodha ya wahuni wenye kumiliki saccos iitwayo Chadema, we mwenyekiti gani anakaa over 20yrs, halafu eti anaitwa kuzindua report ya demokrasia, wakati yeye mwenyewe haruhusu demokrasia ndani ya CHADEMA, ili mengine nao wawe mwenyekiti wa chama!!?? Ni vichekesho tupu vinaenda kufanyika leo.
Mmeo mbona nae ni mhuni ana hawara wa kutosha?
 
Hiyo ndio orodha ya wahuni wenye kumiliki saccos iitwayo Chadema, we mwenyekiti gani anakaa over 20yrs, halafu eti anaitwa kuzindua report ya demokrasia, wakati yeye mwenyewe haruhusu demokrasia ndani ya CHADEMA, ili mengine nao wawe mwenyekiti wa chama!!?? Ni vichekesho tupu vinaenda kufanyika leo.
Ccm imejaa majinga na mapumbavu mengi sana by Dr. Molel
 
19 September 2024

View: https://m.youtube.com/watch?v=NphPhTT0GnM

Siku ya kuadhimisha Demokrasia Duniani tarehe 19 September 2024 ambapo Kongamano la kujadili Hali ya Demokrasia nchini Tanzania ambalo limeandaliwa na Kituo cha Demokrasia nchini (TCD)...

Katikati ya kongamano ghafla Profesa Palamagamba Kabudi akaondoka kimya kimya wakati alijitambulisha mbali ya kuwa waziri wa sheria lakini katika kongamano hili alijitambulisha kuwa ametumwa rasmi na mheshimiwa rais Samia Hassan kuiwakilisha serikali ya chama dola kongwe CCM ...

Tanzania Center for Democracy (TCD) commemorates International Democracy Day today, 19th September 2024 at the University of Dar es Salaam UDSM ....

TOKA MAKTABA :

Nimeshangaa hiki chombo kinachoitwa TCD kutaka kupoka majukumu ya Kikatiba ya Tanzania.
yaani TCD inataka kujivika koti lisilo lake eti kujadili vifo ambavyo vimetokana na jinai.
Nani anaishauri TCD?
Jinai ni jinai tu na handling yake ipo kikatiba.
Huu utamaduni wa ku-politicise jinai umeanzishwa na nani kwa baraka ya nani??
Ningekua msajili ningefutilia mbali hii TCD Kwani imejigeuza jamvi la siasa...na wala haina representation ya wananchi waliopo mitaani na vijijini.
 
Umeumia watu kujadili uhalifu? Usiombe yakukute utamchukia yule unayempenda ktk maisha yako yote
 
Huwa naumizwa na mjadala wa wanafiki
Dunia utaumizwa na mengi. Kila usilolipenda utalichukia mwisho wa siku utazeeka bado ukiwa kijana. Jikite kumtambua Mola wako ili ukiondoka ktk dunia ukaishi maisha mazuri
 
Kwanza ana chuki na maslahi binafsi na Uongozi wa juu wa kitaifa nchini.

Lakini pia ni mchochea chuki, uhasama na mafarakano baina ya wanasiasa nchini kinyume na majukumu ya kidipomasia alonayo, ya angalau kua kiungo kwa pande zote, bila kuegemea au kupendelea upande hasa katika siasa za ndani ya nchi.

Mbaya zaidi,
anashiriki kwa siri siasa na mambo ya ndani ya nchini yetu, na kutoa ufadhili wa hali na mali wenye lengo la kupindua serikali, kuchochea vurugu na machafuko nchini. Balozi huyo asipochukuliwa hatua ni hatari sana kwa umoja, amani na usalama wa Taifa letu. Kama taifa tumkatae kwa pamoja.

Kiufupi amepoteza uhalali wa uwakilishi wa kidipomasia nchini, kwa kukiuka miiko, sheria za kimataifa na ustaarabu wa kazi na majukumu ya kibalozi kulingana na mkataba wa kidiplomasia duniani.

Nashauri wizara ya Mambo ya nje ya nchi, kumchukulia hatua kali mara moja, ikiwa ni pamoja na kumrejesha nchini kwao kwa lazima ndani ya muda mfupi kwa kushindwa kwake kuwakilisha maslahi ya watu wa marekani Tanzania inavyostahili.

Mungu Ibariki Tanzania :NoGodNo:
 
Kwanza ana chuki na maslahi binafsi na Uongozi wa juu wa kitaifa nchini.

Lakini pia ni mchochea chuki, uhasama na mafarakano baina ya wanasiasa nchini kinyume na majukumu ya kidipomasia alonayo.

Mbaya zaidi,
anashiriki kwa siri siasa na mambo ya ndani ya nchini yetu, na kutoa ufadhili wa hali na mali wenye lengo la kupindua serikali.

Kiufupi amepoteza uhalali wa uwakilishi wa kidipomasia nchini, kwa kukiuka miiko, sheria za kimataifa na ustaarabu wa kazi na majukumu ya kibalozi kulingana na mkataba wa kudiplomasia.

Nashauri wizara ya Mambo ya nje ya nchi, kumchukulia hatua kali mara moja, ikiwa ni pamoja na kumrejesha nchini kwao kwa lazima kwa kushindwa kwake kuwakilisha maslahi ya watu wa marekani Tanzania inavyostahili.

Mungu Ibariki Tanzania :NoGodNo:
Kukosolewa kidogo tu povu kama lote utafikiri ametukana viongozi, mjifunze ustahimilivu. Na kubishsna kwa hojabsi kila mtu ni chawa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom