Nisikilize mkuu.Mkuu wewe huwezi kuwa mpayuki....
Hivi polisi si mali ya TZ?
Hivi kituo cha Polisi si Mali yetu watanzania?!!!
Kuchoma Mali ya watanzania ni halali?!!!!
....Mwanzo wa Tufani !...Mkuu wa kituo cha polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.
Katika tukio hilo la jana Septemba 18, gari la askari polisi na kituo cha polisi kimechomwa moto.
IGP hana habari!
Rushwa na uonevu vimekithiriMkuu wa kituo cha polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.
Katika tukio hilo la jana Septemba 18, gari la askari polisi na kituo cha polisi kimechomwa moto.
IGP hana habari!
...Katiba MPYA... !Wapi tunakoelekea?!!
Wapi tutafika?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Halafu wanajitapa wana kitengo cha cyber crime ambacho kazi yake ni kula rushwa za wezi wa simu nothing elseHata tukio hili baya IGP hajajua limetokea wapi
Polisi kula urefu wa kambaKitunda ya Sikonge Tabora! Shida Nini?
Waliochoma ni wenye chama chao, zingatia Tabora, Tanga, Ruvuma na Dodoma ni mikoa ya kijaniWanaacha kuchoma moto maccm wanachoma moto mbwa wao.
Ukiona hivyo kuna mahali yamedhulumiana [emoji23] [emoji1544][emoji1550]kwenye maokotoWanaacha kuchoma moto maccm wanachoma moto mbwa wao.... jeuri ya polisi inatoka kwa CCM na mawakala wao!
Hujui amani ni tunda la haki?Ujinga huo...
Uchome kituo cha Polisi kisa kuitafuta haki yako ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Mia Kwa Mia, speed inaridhishaImefikia pazuri sana
Unatafuta jibu! Hili hapaHata tukio hili baya IGP hajajua limetokea wapi
vip mrejesho wa uchomaji kituo cha police jana?Mkuu wa kituo cha polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.
Katika tukio hilo la jana Septemba 18, gari la askari polisi na kituo cha polisi kimechomwa moto.
IGP hana habari!
IGap yupo bize na watu wa Mbeya kuwabambika kesiMkuu wa kituo cha polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.
Katika tukio hilo la jana Septemba 18, gari la askari polisi na kituo cha polisi kimechomwa moto.
IGP hana habari!
[emoji23][emoji23][emoji23]Tutafika tunakoelekea napajua sana
Wanatuona nyani tuMkuu wa kituo cha polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.
Katika tukio hilo la jana Septemba 18, gari la askari polisi na kituo cha polisi kimechomwa moto.
IGP hana habari!
Wametuona NYANIKitunda ya Sikonge Tabora! Shida Nini?
Najidanganya eeh. Unajua mpaka sasa hivi wapo wangapi stoo?
Hawatakufa ila cha moto watakiona watakuja kukusimulia na hawatarudia tena kuchoma kituo cha polisi moto.