Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Wapo ndani wanaendelea kutajana mpaka wote waenee na aliyewatuma.Wakamatwe haraka wasiwe mfano mbaya kwetu wananchi tunaoheshimu amani ,utulivu na utii wa sheria....
Wasiachwe hata sekunde ...
Kama ni kawaida mbona wewe huendi?Mbana nikawaida Tuu kwenye mapambano
Kwahiyo kama polisi hawatendi haki dawa ni kuchoma kituo cha polisi? Unafahamu madhara yatakayokuja baada ya kukosa kituo cha polisi?Polisi watende HAKI Wananchi hawana imani nao wanawaona kuwa ni taasisi iliyojaa rushwa na ubabe na kutofuata sheria.
Wewe kama siyo muoga mbona hujitokezi kuchoma kituo cha polisi?acha uwoga wewe
🤣🤣🤣🤣😂Unachomaje kituo cha Polisi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Watafutwe
Watafutwe
Wawajibishwe
Wawajibishwe
#SiempreJMT[emoji120]
Wezi watakuja soonKwahiyo kama polisi hawatendi haki dawa ni kuchoma kituo cha polisi? Unafahamu madhara yatakayokuja baada ya kukosa kituo cha polisi?
Ni hatari sana ila wengi hawajui madhara ya kukosa usalama.Wezi watakuja soon
Hawana akili wakianza kuibiwa na kukabwa na kubanduliwa wake zao watapata akiliNi hatari sana ila wengi hawajui madhara ya kukosa usalama.
Sisapoti kwa njia yoyote kwa raia yoyote wa Jamhuri kujichukulia sheria mikononi lakini tujiulize tumefikaje huku iundwe tume iangalie wapi panafeli.Kwahiyo kama polisi hawatendi haki dawa ni kuchoma kituo cha polisi? Unafahamu madhara yatakayokuja baada ya kukosa kituo cha polisi?
Hilo ndio SuluhishoSisapoti kwa njia yoyote kwa raia yoyote wa Jamhuri kujichukulia sheria mikononi lakini tujiulize tumefikaje huku iundwe tume iangalie wapi panafeli.
Kila mtu hawezi kuwa nani kama Mama...wewe ni raisi? Kenge weweKama ni kawaida mbona wewe huendi?
sasa kituo na gari vimehusikaje na madai yao[emoji23][emoji23][emoji23].
kwamba wanawakomoa polisi hapa.
umasikini+stress=kichaa.
hapa hasara ni kwa wananchi wenyewe hawawakomoi polisi.Kama gari ilikuwa inafukuza wahalifu mtaani na kuwa weka sehemu salama,
ikitokea vurugu hiyo bhas wahalifu wataitia moto Gari ili isiwafuate fuate mtaani.
Watu wamechoka sana tena ile mikoa mipole kama Lindi, Mtwara na Tabora, sijui kule Arusha na Mara nini kimetokea!Mkuu wa kituo cha polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira.
Katika tukio hilo la jana Septemba 18, gari la askari polisi na kituo cha polisi kimechomwa moto.
IGP hana habari!
mkuu kituo kilijengwa kwa nguvu na mahitaji ya wananchi wa eneo husika, matarajio yalikuwa ni kupata msaada unaohitajika kutoka kwa mapolisi wataopangiwa kufanya kazi ktk kituo hicho.Waendelee kuishi kama digidigi ila watajuta kuzaliwa wakikamatwa. Unachoma kituo cha polisi moto..