Kitwanga atoa ufafanuzi wa suala la Lugumi na uhusiano wake kuhusu kutumbuliwa kwake

Hapa swala ni Infosys..haina uhusiano na Lugumi...mambo ya Lugumi kushinda tenda haina uhusiano na mada husika...

Jambo liko inter-related. Hakuna PPRA inapotoa mwanya wa kampuni ya kishenzi kusambaza bidhaa kwa serikali, labda iwe ni kugawa mbengu za mahindi kwa jirani yako. Serikali ikitoa tender kwa mtu asiye na uwezo/utaalamu, huo ndo upuuzi. Tenda ya vifaa kama hivyo siyo sawa na kugawa pembejeo.

Kama lugumi hakuwa na uwezo, akanunua kwa kushirikiana na mwenye uwezo, mwenye uwezo akatafuta tena atakayefunga, basi ujue hiyo siyo serikali. Yaani moja kati ya katua hizo ikishindwa basi, kazi haifanyiki. Serikali inaweza kuruhusu risk ya bilioni zote hizo? That will be a nonsense government.

Pesa kama hiyo huwekewa kinga za kibenki kabla hata ya manunuzi. leo hii tunaaambiwa hata hakuna kilichofanyika kuhalalisha matumizi kama hayo. The equation is simple; Lugumi, na wote ktk msululu wa makubaliano hayo hadi huyo infosys, wote walikuwa pamoja ktk mbinu chafu! Mbaya zaidi sasa jamaa hajui hata kujieleza.
 
Lugumi alipewa kazi gani tena?

Na hiyo inforsystems kazi gani nao wanasema walipewa?

Nauliza sababu sijalielewa hili sakata, zaidi ya woteeee waliotajwa kabla kujisimamia kuonyesha wapo sawa hakuna tatizo.
Umemsahau na dell kama ishu ni kufunga hivo vifaa ina maana yeye lugumi ndo angemtafuta huyo infosisitimu! manake dell ni mtengenezaji tu wa vifaa!
 
Lugumi alipewa kazi gani tena?

Na hiyo inforsystems kazi gani nao wanasema walipewa?

Nauliza sababu sijalielewa hili sakata, zaidi ya woteeee waliotajwa kabla kujisimamia kuonyesha wapo sawa hakuna tatizo.
mi nilivyoelewa lugumi alikamata tena akishirikiana na kampuni la marekani,alipoipata,ile kampuni ya marekani vifaa ikanunua DELL Kwa makubaliano pia hao DELL ndo waje kufunga mitambo hiyo,halafu hao DELL Nao wakaleta vifaa na kuwapa Inforsyis tenda ya kufunga hivyo vifaa
 
Nahisi katupia tena
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaa... Kitwanga, still he has hang over.. haaaaa... eti Mtu akikwambia mm mume wa mama yako utakubali..? haaaaaaaaaa..
 

Umetaja kampuni zote isipokuwa hiyo "kampuni la Marekani". Linaitwaje hilo? Usipolitaja hilo "kampuni la Marekani", hutakuwa na tofauti yoyote na sisi: sote hatujaelewa.
 
TANZANIA comed ni za Kutosha! EPA Balali Kafa!!!! RICHMOND +SIMBION + IPTL ) katokea mwarabu Et zake! MEREMETA! TANGOLD ( tukaambiwa Jeshi! ESCROW! Lugemalira na Mkombozi na zamboga na Kilaini na msoga c zawananchi' LUGUMI hayohayo! Jamani tuiombee nchi amani na ccm mbele Kwa! .... na wazee wastaafu nitawalinda m niombee Amina
 
Umemsahau na dell kama ishu ni kufunga hivo vifaa ina maana yeye lugumi ndo angemtafuta huyo infosisitimu! manake dell ni mtengenezaji tu wa vifaa!
Kwa maelezo yake Kitwanga Lugumi waliwataka Dell waje kuwafungia hivyo vifaa(nadhani waliwapa na kazi ya kufunga) sasa hao Dell ndio wakawapa kazi Infosys kama mawakala wao,Kama nitakuwa nimemuelewa vizuri Kitwanga
 
Inaelekea bwana mawe matatu haamini kama katenguliwa,kwa magufuli hakuna mtu mzito
 
Kwa maelezo yake Kitwanga Lugumi waliwataka Dell waje kuwafungia hivyo vifaa(nadhani waliwapa na kazi ya kufunga) sasa hao Dell ndio wakawapa kazi Infosys kama mawakala wao,Kama nitakuwa nimemuelewa vizuri Kitwanga
Anyway sawa!. Kazi ya LUGUMI ni ipi sasa!
 
Kitwanga mbona kama katumia SHISHA..!! oohh God..!! Kumbe hata hajui la kuongea, huyu full time ni SHISA tu... haaaa...!!

Mtu akikwambia mm ni mume wa mama yako UTAKUBALI..!!? Haaaaaa.. nimecheka sana omg..!! Kitwanga kweli anahitaji tiba kubwa sana..!!
 
sas km n baba angu ndo kauliza nakataaje kwa mfano?
 
Anyway sawa!. Kazi ya LUGUMI ni ipi sasa!
Nadhani kazi yao ilikuwa kuwauzia serikali hivyo vifaa hivyo wao waliamua kwenda kuvinunua ktk Kampuni ya Dell(inawezekana zipo kampuni nyingi zinazotengeza hivyo vifaa)
 
Ila nimepata faraja safari hii hata wao wanaisoma namba kwa maana walio wengi ni wana ccm na ndiyo wanashindwa hata uwezo wa kununua sukari,ukiondoa mafisadi
Kwenye kuisoma nilijua tunaisoma sisi wapinzani tuu?
 
Fungu la kukosa hilo, akae tu aangalie wenzake wanafanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…