Uzi ulitakiwa uishie hapaNa kama Rais kila mara anakubali huo ushauri mbaya, basi naye ndie hafai kabisa, ametokea kukiamini kikundi cha watu wachache no matter what bado anaendelea kukiamini tu, anajiharibia kabisa.
Anaonekana ameshikiwa akili, na members wa hicho kikundi nao sasa wanajua wamemshika akili, hivyo wanafanya watakavyo, matokeo yake nao sasa wamejigeuza "marais" kwenye idara zao.
Hayo ndio matokeo ya kuwa na Rais dhaifu, ni sawa na baba nyumbani asiewakanya wanae, anawaacha wafanye vile watakavyo, matokeo yake kila mtoto atajiamulia cha kufanya.
Mtu kama kitwanga KWA Taifa letu ni asset inayotumiwa na wakubwa wa NCHI kutaka Badilikoe FULANI!Kwamba Hadi yule Mzee asiye na wizara maalum naye anatoa ushauri mbaya au anashauri bt hasikizwi?
Maombi juu ya nchi, viongozi na KANISA ndo yatalitoa Taifa letu ktk mkwamo tuliopo.
Amen
Na hivi ndivyo ilivyokua, labda kama umehadithiwa sivyo, au aliyekuhadithia hajui, au ni kupamba tu, lakini ukweli kipindi hichi maduka yalikua ni ya ushirika na chama na bidhaa tulinunua kwa kadi ya ration na kwa wiki au wiki mbili mara moja tuNyerere alishauriwa na washauri wake ataifishe maduka yote, yani maduka yote mpaka ya Uswahilini yawe ya ushirika au chama.
Huyaoni matatizo ya mama yupi?Binafsi Kitwanga sijawai kumwamini, angemuacha Mama atekeleze majukumu yake tafadhali.
Mama yuko vizuri sana, sioni matatizo ya Mama ingawa kila binadamu ana mapungufu yake.
Hao wa mbele ni kina nani?,kwa majina tafadhali
Unaaminije maneno ya Kitwanga?Na kama Rais kila mara anakubali huo ushauri mbaya, basi naye ndie hafai kabisa, ametokea kukiamini kikundi cha watu wachache no matter what bado anaendelea kukiamini tu, anajiharibia kabisa.
Anaonekana ameshikiwa akili, na members wa hicho kikundi nao sasa wanajua wamemshika akili, hivyo wanafanya watakavyo, matokeo yake nao sasa wamejigeuza "marais" kwenye idara zao.
Hayo ndio matokeo ya kuwa na Rais dhaifu, ni sawa na baba nyumbani asiewakanya wanae, anawaacha wafanye vile watakavyo, matokeo yake kila mtoto atajiamulia cha kufanya.
Hapana, si kweli, labda kwenu tu.Na hivi ndivyo ilivyokua, labda kama umehadithiwa sivyo, au aliyekuhadithia hajui, au ni kupamba tu, lakini ukweli kipindi hichi maduka yalikua ni ya ushirika na chama na bidhaa tulinunua kwa kadi ya ration na kwa wiki au wiki mbili mara moja tu
Yaani kama alishauriwa kweli basi ni kinyume na ulivyosema wewe
Ukiritimba uliwepo
Kikwete ni mtu hatari sana, mama ni mtu dhaifu sanaKitwanga anasema kuna kundi ambalo limejipenyeza kwa rais na kila mahala linamshauri vibaya Rais.
==========
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema kuna kundi linalomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan ambalo limekuwa likiweka vigingi kwa watu, wakiwamo wataalamu, wanaotaka kushauri kuhusu mambo mema ya kuipeleka nchini pazuri zaidi.
Kitwanga amesema mbali na kuweka vigingi kwa watu wenye nia njema, kundi hilo limekuwa likiwaona tishio, hivyo kuwachafua, ili kulinda masilahi binafsi. Amemwomba Rais kuwa makini na kundi hilo.
Kitwanga alisema hayo jana Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini na kwamba ameona kuna umuhimu wa kumshauri Rais Samia kupitia vyombo vya habari.
Alisema kundi hilo limejipenyeza katika kila sekta zikiwamo taasisi za umma na kwamba lengo lake ni kuharibu nchi kwa maslahi binafsi.
Chanzo: Nipashe
Yanayoendelea yepi? Acheni majungu. Nchi inaenda vizuri.Hakuna wa kumshauri vibaya Rais! Yanayo endelea ni matokeo ya uwezo wake na utendaji wake na fikra zake tusiwasingizie watu!
Kikwete ni mtu hatari sana, Samia ni mtu dhaifu sana
Ulitaka wakulima wafungiwe soko ili wapate hasara kukukulisha wewe? Kuagiza kutoka nje ili kustabilize prices ni sawa tu, na Samia si wa kwanza. Haya mambo ya kumlazimisha mkulima auze kwa bei unayoitaka yamepitwa na wakati. Ukiona unapata shida mapori yapo mengi, kalime.Kusema hakuna kufunga mipaka halafu unaruhusu wakanunue chakula nje walete ndani , hiyo ni akili au mavi
Hawa jamaa ni wale waliokuwa na fursa awamu ya tano. Wanamuandama mama kwa visirani vyao tu lakini yuko vizuri mno.Binafsi Kitwanga sijawai kumwamini, angemuacha Mama atekeleze majukumu yake tafadhali.
Mama yuko vizuri sana, sioni matatizo ya Mama ingawa kila binadamu ana mapungufu yake.
Ukweli mchunguuu huuHakuna wa kumshauri vibaya Rais! Yanayo endelea ni matokeo ya uwezo wake na utendaji wake na fikra zake tusiwasingizie watu!
Huyo Dr Mollel duh, ngoja tuone.
Tatizo analimited capacity of thinking so anaacha wamsaidie kufikiri... hii nchi inahitaji kichwa kilichotulia na chenye msimamo madhubuti. Sio hivi tunavyoenda watu wanamapembe mpaka aibu. Tuliojikoni kazi yetu kuchochea kuni tu.
Kitwanga hivi punde ataanza kudai Katiba mpya, muda ni mwalimu mzuri...
Mkuu punguza ukali wa maneno huyo ni binadamu siyo takataka...khaaWewe ni takataka!