Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

wewe kazi yako ni kutakana mengine achia wenye akili timamu, kwahio endelea kutukana
Wewe mjinga mjinga huna cha kuniambia mimi, watu km wewe ndio mtaji wao mzuri sababu kichwani sifuri hamjui kitu
 
hizo mikopo utalipa kwa dola hakuna mkopo unalipwa kwa tsh
 
Hao hao wanaokesha kubuni Kodi mpya, Leo wanakuja kutuambia hawana shida na kodi
 
Wewe mjinga mjinga huna cha kuniambia mimi, watu km wewe ndio mtaji wao mzuri sababu kichwani sifuri hamjui kitu
wewe endeleza kazi ulioanza, mwendo wa matusi, ama umeishiwa matusi
 
Upo serious au unafanya comedy? Huo mkopo ambao serikali inakopa huwa serikali wanalipa kwa pesa zinazotoka wapi? Ichukue mkopo au itumie pesa yake, zote zinatokana na Kodi.
 
Upo serious au unafanya comedy? Huo mkopo ambao serikali inakopa huwa serikali wanalipa kwa pesa zinazotoka wapi? Ichukue mkopo au itumie pesa yake, zote zinatokana na Kodi.
NOP, utalipa kwa dola
 
We jamaa unatumia kilevi gani hapo?
Serikali ikinunua magari nje au ndege hiyp pesa serikali inaitoa wapi?
hio pesa ipo, the same way hata wewe ukitaka kununua gari nje ya nchi ukatoa tsh, serikali itafidia transaction yako na anaekuuzia gari nje ya nchi atapokea dola zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…