Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Sawa. Maana uzoefu wangu humu unaonyesha ulisema jambo lolote lenye kumuumiza mbowe au cdm, hata liwe kweli kiasi gani, lazima ushambuliwe. Kwao inabidi useme taarifa yoyote mbaya kwa samia, hata kama amejikwaa au kukohoa, we sema hata hiyoHamna Mimi NI ràfiki wa Watu wengi.
Hii NI home work
Ndio maana wenye akili wanaandama huku midebwedo mkibaki jf
Kumbe Bado unaumia Hadi Leo hii? 🤣🤣🤣🤪Habari za weekend!
Polisi na serikali kitakuwa NI kichaka tuu cha Kutoa Lawama lakini ukweli wa wazi NI kuwa, Wanachadema wamemtia aibu Mbowe.
Haiwezeniki Mwenyekiti atoe la namna Ile. Mpaka anasema kama akikamatwa au akiuawa muendelee na maandamano alafu Siku ya tukio mkamkimbia.
Nimejaribu kujishawishi lakini imeshindikana.
Tuachane na wanachama WA kawaida wa CHADEMA. Hivi viongozi WA CHADEMA wôte nchi nzima wangeamua kumuunga Mkono Mwenyekiti wasingeepusha aibu ile?
Yaani Chama chenye Wafuasi zaidi ya Milioni Sita mmeshindwaje kuandamana hata Watu elfu Kumi tuu. Huu kama siô utani NI kitû gàni?
Inamaana Watu Milioni Sita wanashindwa kusimamia kile wanachokiamini?
Mbona Wamasai Laki unusu tuu wameweza?
Maandamano Yale hayakuwa ya kuipa serikali ujûmbe kuhusu Agenda zilizotolewa kuhusu Utekaji na mauaji.
Bali yametoa ujûmbe Kwa Serikali kuwa CHADEMA haina wanachama watiifu Kwa Chama Chao. Wanachama àmbao wanaweza kusimamia kile wanachokiamini.
Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa nchi zingine kama Ulaya na Amerika kuwa CHADEMA hakina ushawishi wowote.
Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa wananchi kuwa CHADEMA siô Chama kinachokubalika.
Maandamano Yale yametoa pîcha kwa vyama vingine hasa Chama Tawala kuwa CHADEMA siô vile walivyokuwa wanaihofia.
Maandamano Yale yameleta majuto hasa Kwa viongozi WA serikali, Vyombo vya Dola na watawala kujuta Kutoa matamko Makali na Mengine Mabaya, na Kutumia Ñguvu àmbayo haikustahili.
Yàani Kúua nzi Kwa Nyundo.
Maandamano Yale yamekatisha tamaa Baadhi ya viongozi ambao wanampango WA kugombea kupitia CHADEMA na kuona Hakuna tumaini jema kupata uongozi kupitia CHADEMA.
Yaani hata Watu Elfu Moja kweli wakashindwa kuandamana?
Hakika wanachadema ninyi hamjakidhi vigezo vya kuitwa watetezi wa wanyonge kwèñye mapambano Makali, labda Kwa njia ya mdomo na mitañdaoni lakini huku field hapana Kwa Kwèli.
Mmemtia Mwenyekiti Mbowe Aibu. Angalau mngejaribu hata kidôgo Watu wangeona walau mlitoka.
Hii inaweza kuonyesha Mpo kwaajili ya kumtumia Mzee Mbowe. Mnamsifia tuu Bure lakini matendo Yenu yapo Mbali Sana.
Angalia Raila Odinga, anaitwa Baba. Huyo akisema Watu wanafuata. Na hawapo tayari Kumtia Aibu.
Niliona hata Kwa Jacob Zuma Kule Afrika Kûsini.
Fuatilieni Jambo Hilo. Jengeni unity. Na dalili ya Unity ni Kufuata oda ya Mwenyekiti wenu.
Jioni njema
Point ya Msingi ni kuwa Viongozi wa CCM wameshaona kuwa CHADEMA haina kitu tena, Haina madhara na hawana lolote la kuwatishaHabari za weekend!

Wewe uko tayari kuifia imani yako au kuumizwa vibaya kwa sababu ya imani yako ya kidini au mungu wako?
Na inatakiwa Watu weñye falsafa zisizobadilika badilika. Yàani vigeugeu
Kawaombe mabasha wako huko ccm nasikia mnenguaji na mpambe mwenzio dayamondi kashatenguliwa kiuno na pididy baada ya kuona locally mmejaa mbumbusela.Tukuombe Poo wewe?
Uzushi umeandika wewe lakini unataka mimi nifafanue ili iweje?
Kawaombe mabasha wako huko ccm nasikia mnenguaji na mpambe mwenzio dayamondi kashatenguliwa kiuno na pididy baada ya kuona locally mmejaa mbumbusela.
imhotep, binti kiziwi, Economist na wale wengine kuna ukweli mchungu huku:
Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM
hakuwa peke yake, kama jeshi lisingejihami kwa silaha kali za vita watu wengi wangeandamana kwa amani. sasa katika hali kama ile amani ingetoka wapi? ukizingatia watu hawana iman na jeshi letu kulingana na matukio ya mauaji yanayoendeleaKwa hîyo unaona NI Sahihi Mwenyekiti Mbowe kutangaza maandamano alafu Siku ya tukio awe pekeake? Unaona kabisa NI Sahihi?
hakuwa peke yake, kama jeshi lisingejihami kwa silaha kali za vita watu wengi wangeandamana kwa amani. sasa katika hali kama ile amani ingetoka wapi? ukizingatia watu hawana iman na jeshi letu kulingana na matukio ya mauaji yanayoendelea
busara ilitumikaKwamba CHADEMA hawakuwa wamemuelewa Mbowe alivyosema hata kama yeye akiuawa waendelee mbele?
Kauli hiyo mbona Iko wazi sana
🫢🫢
Unataka kupigwa
Huo ukweli nani amesema kama ni ukweli? naona ni opinion za Robert tu.imhotep, binti kiziwi, Economist na wale wengine kuna ukweli mchungu huku: