Kiukweli Wanachadema walimtia aibu Mwenyekiti Mbowe

Hamna Mimi NI ràfiki wa Watu wengi.
Hii NI home work
Sawa. Maana uzoefu wangu humu unaonyesha ulisema jambo lolote lenye kumuumiza mbowe au cdm, hata liwe kweli kiasi gani, lazima ushambuliwe. Kwao inabidi useme taarifa yoyote mbaya kwa samia, hata kama amejikwaa au kukohoa, we sema hata hiyo
 
Habari za weekend!

Polisi na serikali kitakuwa NI kichaka tuu cha Kutoa Lawama lakini ukweli wa wazi NI kuwa, Wanachadema wamemtia aibu Mbowe.

Haiwezeniki Mwenyekiti atoe la namna Ile. Mpaka anasema kama akikamatwa au akiuawa muendelee na maandamano alafu Siku ya tukio mkamkimbia.

Nimejaribu kujishawishi lakini imeshindikana.

Tuachane na wanachama WA kawaida wa CHADEMA. Hivi viongozi WA CHADEMA wôte nchi nzima wangeamua kumuunga Mkono Mwenyekiti wasingeepusha aibu ile?

Yaani Chama chenye Wafuasi zaidi ya Milioni Sita mmeshindwaje kuandamana hata Watu elfu Kumi tuu. Huu kama siô utani NI kitû gàni?

Inamaana Watu Milioni Sita wanashindwa kusimamia kile wanachokiamini?
Mbona Wamasai Laki unusu tuu wameweza?

Maandamano Yale hayakuwa ya kuipa serikali ujûmbe kuhusu Agenda zilizotolewa kuhusu Utekaji na mauaji.
Bali yametoa ujûmbe Kwa Serikali kuwa CHADEMA haina wanachama watiifu Kwa Chama Chao. Wanachama àmbao wanaweza kusimamia kile wanachokiamini.

Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa nchi zingine kama Ulaya na Amerika kuwa CHADEMA hakina ushawishi wowote.

Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa wananchi kuwa CHADEMA siô Chama kinachokubalika.

Maandamano Yale yametoa pîcha kwa vyama vingine hasa Chama Tawala kuwa CHADEMA siô vile walivyokuwa wanaihofia.

Maandamano Yale yameleta majuto hasa Kwa viongozi WA serikali, Vyombo vya Dola na watawala kujuta Kutoa matamko Makali na Mengine Mabaya, na Kutumia Ñguvu àmbayo haikustahili.
Yàani Kúua nzi Kwa Nyundo.

Maandamano Yale yamekatisha tamaa Baadhi ya viongozi ambao wanampango WA kugombea kupitia CHADEMA na kuona Hakuna tumaini jema kupata uongozi kupitia CHADEMA.

Yaani hata Watu Elfu Moja kweli wakashindwa kuandamana?

Hakika wanachadema ninyi hamjakidhi vigezo vya kuitwa watetezi wa wanyonge kwèñye mapambano Makali, labda Kwa njia ya mdomo na mitañdaoni lakini huku field hapana Kwa Kwèli.

Mmemtia Mwenyekiti Mbowe Aibu. Angalau mngejaribu hata kidôgo Watu wangeona walau mlitoka.

Hii inaweza kuonyesha Mpo kwaajili ya kumtumia Mzee Mbowe. Mnamsifia tuu Bure lakini matendo Yenu yapo Mbali Sana.

Angalia Raila Odinga, anaitwa Baba. Huyo akisema Watu wanafuata. Na hawapo tayari Kumtia Aibu.
Niliona hata Kwa Jacob Zuma Kule Afrika Kûsini.

Fuatilieni Jambo Hilo. Jengeni unity. Na dalili ya Unity ni Kufuata oda ya Mwenyekiti wenu.

Jioni njema
Kumbe Bado unaumia Hadi Leo hii? 🤣🤣🤣🤪
 
1000180530.jpg
 
Point ya Msingi ni kuwa Viongozi wa CCM wameshaona kuwa CHADEMA haina kitu tena, Haina madhara na hawana lolote la kuwatisha

Watu kuongea wanaweza lakini kutenda sasa 🤣🤣🤣

Ndio maana mimi huwa nasema hakuna Upinzani Bongo
 
Binafsi ninaamini maandamano yatakayokuja kufanikiwa dhidi ya Serikali ni yale ya Watu kuamua wenyewe bila msukumo wa Vyama vya siasa Wala Asasi yeyote...
 
Uzushi umeandika wewe lakini unataka mimi nifafanue ili iweje?

Mkuu hukusikia Mbowe alivyowataka CHADEMA WAANDAMANE?
Lakini wakakaidi na kuacha kuandamana.
Hukumwona Mbowe akiwa pekeake na Binti yake badala ya kuwa na ningi makamanda?

Uzushi hapo ni upi?
 
Kwa hîyo unaona NI Sahihi Mwenyekiti Mbowe kutangaza maandamano alafu Siku ya tukio awe pekeake? Unaona kabisa NI Sahihi?
hakuwa peke yake, kama jeshi lisingejihami kwa silaha kali za vita watu wengi wangeandamana kwa amani. sasa katika hali kama ile amani ingetoka wapi? ukizingatia watu hawana iman na jeshi letu kulingana na matukio ya mauaji yanayoendelea
 
Kwamba CHADEMA hawakuwa wamemuelewa Mbowe alivyosema hata kama yeye akiuawa waendelee mbele?
Kauli hiyo mbona Iko wazi sana
 
Huo ukweli nani amesema kama ni ukweli? naona ni opinion za Robert tu.

Hamuwezi kuwakosoa wana CDM kwa kutokufanya maandamano ambayo polisi wameyakataa kimaandishi, na bado haitoshi wametanda mji mzima na silaha nzito za kivita kama tupo gaza, tena days before and few days after. Mlitaka watu wafanye nini? So far mambo ni mabaya, kuwamock CDM hakusaidii kitu. Sisi wengine ni nchi kwanza na CDM wanatusaidia sana kuachive “nchi kwanza”

Haya mabandiko ya sasa ya kina Robert na nduguze juu ya maonyo, ushauri na blah blah zingine lengo lake ni mockery. Nani mwenye akili timamu asiyejua hizi ni dhihaka?
 
Back
Top Bottom