Tatizo huruma, sipendi tukabemende hako katoto kenu!Mbona Unamuelezea Sana Vp Kwani?? Kwani Ni Mchezaji Wa Timu Yenu?...Relax!! Kama Kuwapasua Tena Atawapasua Tu Kwenye Hilo Hana Mjadala Na Nyie Na Mechi Mtaishia Kufungwa Tu [emoji23]
Umeongea utafikiri uwanjani unacheza weweHizo stats za huyo mtoto ndio hizo hizo au kuna nyingine mmezisahau mahala?
Mshambuliaji ana magoli 10, na assist 6 = 16, mbona huyu ni level ya G.Mpole kabisa!
Tena Mpole ni zaidi yake kwasababu ana experience na ligi yetu, huyo mtoto mpaka aizoee.
Simba SC inachukua mashine iliyokiwasha kwenye ligi za kibabe, mfano Sudan, na Ghana, tena huko Sudan imekiwasha kwa kuwachezea miamba wote wawili wa nchi hiyo Al Merreikh na Al Hilal.
Mind you; tena huyu sio mshambuliaji kama huyo kinda wenu, huyu wa Simba SC ni kiungo/winga, ana migoli na mi - assist kibao mpaka nimeisahau, sorry ngoja nikacheki tena record zangu!
Utopolo mkiamka usingizini, na wala hili sio kosa lenu ni ushamba wenu wa kutambulisha wachezaji wenu mida ya daku, naona bado mmelewa usingizi, mjue huyo Aziz Ki amekuja kushindana na G. Mpole.
Nikimuweka na Phiri hapo nitakuwa nakabemenda hako katoto kenu!
yule pimbi wenu alipata ofa gan kubwa huko kwenye vilabu vikubwa,hadi akaamua kuchagua simba?Una uhakika Simba walituma offer kwake? Au unajitekenya mwenyewe? Simba walishasema tangu mwanzo huyo dogo hakuwa kwenye mipango yao.
Binafsi nilishangaa, kama ni mchezaji mzuri how comes asipate offer vilabu vikubwa huko?#kuna watu wamekurupuka#Muda utaongea
Katoto?! Mbona Aliwageuza Geuza Nje Ndani?, Wewe Nishakwambia Lazima Atawapasua Tena Na Mtafungwa Tu.Tatizo huruma, sipendi tukabemende hako katoto kenu!
Hauna haja ya kumpiga Ban mtu mpumbavu,mkuu Maxence Melo wala usimzingatie huyu kijana ambaye hana akiliMkuu, Simba ASIPOCHUKUA KOMBE LA LIGI MSIMU UJAO, NIPIGWE BAN YA MWAKA NZIMA.
Maxence Melo Active Moderator
CHIKWENDE au sioUna uhakika Simba walituma offer kwake? Au unajitekenya mwenyewe? Simba walishasema tangu mwanzo huyo dogo hakuwa kwenye mipango yao.
Binafsi nilishangaa, kama ni mchezaji mzuri how comes asipate offer vilabu vikubwa huko?#kuna watu wamekurupuka#Muda utaongea
Mkuu kuna ndugu yako amewahi kuumwa ugonjwa wa INI??Hata Calihnos alipewa sifa hizi za kijinga. Tusubiri uwanjani tutaona. Bigirimana aka storekeeper mgonjwa wa ini. Mpelekeni kwanza India.
Acha ujinga, chama alisajiliwa kwa hizo pesa mwaka gani???Yaani Tsh Milioni 400 ndiyo Dau la Rekodi? Kuna Watu ni Wapumbavu hapa duniani hadi Kero.
Hivi unajua kuwa Simba SC kwa Chama ilitumia zaidi ya Tsh Milioni 400 Kumsajili na kuja Kuichezea?
Achana na huyo Chama wa Timu yangu ya Simba SC hivi unajua kuwa Kiungo Fundi wa Yanga SC na Daktari wa Mpira Khalid Aucho alisajiliwa na Yanga SC kwa kiasi cha karibia Tsh Milioni 450 hadi Tsh Milioni 475?
Hakika nimeamini kuwa aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema ( ipo YouTube ) kuwa Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe wala hakukosea.
mumtibu bas iyo midomo
Naunga mkono hoja, kuonyesha mpira kwa biashara poa sana.Ligi kuu Tz bara inazidi kunoga
Kwa wale mnaonesha mpira kwenye vibanda umiza huu ndio mwaka wa kupiga hela.
Nashauri kijana kama una kamtaji fungua kibanda umiza utakuja kunishukuru kwani ligi ya mwaka huu haina tofauti ni EPL.
jenga hoja nyingine,hy imekaa kidada sana,au unapenda midomo ya wanaume ,?mumtibu bas iyo midomo
nimejenga hoja ya kidada kwasababu wewe pia nimdada nikujenga hoja ya kiume utaiwezajenga hoja nyingine,hy imekaa kidada sana,au unapenda midomo ya wanaume ,?
Ni ujinga lkn kuwa na tabia ya kukurupuka kuwasajili wachezajiHaya wale Makolo wakiosema Yanga hatuwezi huu usajili tunahitaji muongeze nyodo zingine..
This is Yanga, ni Dream team kwa Kila Player all over the world [emoji617][emoji617][emoji123][emoji123]