Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

Katoto?! Mbona Aliwageuza Geuza Nje Ndani?, Wewe Nishakwambia Lazima Atawapasua Tena Na Mtafungwa Tu.
Hako katoto kenu kakikabwa na Onyango kanaonewa, kakikabwa na Inonga kanaonewa, kakikabwa na Ouattar kanaonewa, itabidi tukatafutie beki mpya wa saizi yake ili kasije kakawa kanalia uwanjani siku ya mechi.
 
Hao si ndio walifungwa na rivers nje ndani. Ki ni mchezaji wa kawaida sana, walifungwa 4 hapa taifa
 
Wachambuzi bhana[emoji23][emoji23]
 
Azizi Ki sio striker ni kiungo mshambuliaji
 
[emoji22][emoji22]huoni hata aibu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Azizi Ki sio striker ni kiungo mshambuliaji

Hawa vijana wanao uza mitumba pale msimbazi huwa hawanaga akili za kutosha.

Miaka yote wanashabikia mpira lakini hawawezi tofautisha Mshambuliaji na Kiungo.

Bure Kabisa [emoji23][emoji23]
 
Hako katoto kenu kakikabwa na Onyango kanaonewa, kakikabwa na Inonga kanaonewa, kakikabwa na Ouattar kanaonewa, itabidi tukatafutie beki mpya wa saizi yake ili kasije kakawa kanalia uwanjani siku ya mechi.

Unamzungumzia Onyango huyu huyu aliyekuwa akipelekewa moto na TK Master?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…