Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

Unaumiiiiiiiiiiia na bado yaani mkikaa vibaya msimu huu tunawapiga si chini ya goal 4 ngoja ligi ianze
 
Hako katoto kenu kakikabwa na Onyango kanaonewa, kakikabwa na Inonga kanaonewa, kakikabwa na Ouattar kanaonewa, itabidi tukatafutie beki mpya wa saizi yake ili kasije kakawa kanalia uwanjani siku ya mechi.
Huyo Inonga hukuona alivyogeuzwa geuzwa kama chapati kisha akatumbukia kambani
 
Makolo wanavyoisoma habari ya utambulisho wa Aziz Ki
 

Attachments

  • Makol.jpeg
    30.3 KB · Views: 2
Hata Calihnos alipewa sifa hizi za kijinga. Tusubiri uwanjani tutaona. Bigirimana aka storekeeper mgonjwa wa ini. Mpelekeni kwanza India.
Hata Mayele mlisema Yanga wamepigwa mkaanzisha nyuzi kabisa
 
Ni mnywaji wa gongo nini mbona mdomo umechubuka?

Nasikia pia ana vidole 3 tu kila mguu.

Ila cha msingi atupie tu maana hivyo vidole vyake havituhusu kwa kuwa sisi mashabiki wa yanga sio “wapaka rangi kucha za miguu”.
 
Bado unaweweseka? Tumia paracetamol kutwa mara 3 kupunguza maumivu
 
Mkuu dau lililotumika apo ni 660ml. Usipotoshe watu, mshahara atakunja 22ml.kwa mwezi upo apo, labda nikuweke sawa kwa hilo
 
Hata Calihnos alipewa sifa hizi za kijinga. Tusubiri uwanjani tutaona. Bigirimana aka storekeeper mgonjwa wa ini. Mpelekeni kwanza India.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usajili mzuri, kazi kwake kuonyesha thamani yake ndani ya uwanja na ajue kuwa mashabiki wa bongo hawana uvumilivu wasipopata walichokitarajia kwake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.
 
Unaumiiiiiiiiiiia na bado yaani mkikaa vibaya msimu huu tunawapiga si chini ya goal 4 ngoja ligi ianze
Yanga uwezo wa kuifunga Simba goli zaidi ya 2 kwa 0, haiwezi tokea

5 unazikumbuka???
4 kwa 1 semi final FA??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aziz ki ni mchezaji mzuri mkuu..hata Kama utopolo wamechukua haibadilishi kua ni mchezaji mzuri.

Ukisema eti mbona timu mkubwa hazijamchukua inategemea na nahitaji ya timu we si unaona noe Cristiano Ronaldo amekua rejected na Chelsea,Madrid,PSG na Bayern kwani ni mchezaji mbaya?
 

 

You must be one of few intelligent person from Msimbazi.

Kongole.
 
Yanga uwezo wa kuifunga Simba goli zaidi ya 2 kwa 0, haiwezi tokea

5 unazikumbuka???
4 kwa 1 semi final FA??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Umeanza lini binti kushabikia mpira..?
 
Sasa Mayele si wote tumemuona uwezo wake anazidiwa hadi na wazawa tena wakichezea timu za mikoani huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…