MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Timu la chooni liliishia makundi kwa sbb ya hongo za gsm na kuchoma sindano..ptuhhhh
Simba SC Bingwa CAFCCL 2024/2025, Hutaki hamia Burundi au andamana, This is Simba SC guvu moya...💪.Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.
Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...
Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....
##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
Very well explained. Bahati mbaya humu tunachangia kwa mihemuko ya kitimu..kwa hiyo huwezi kupata maoni mazuri.Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.
Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...
Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....
##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
🤔 ❓️Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.
Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...
Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....
##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
Kachezeni nyie zanzibar fainali yenu ya crdb...Yaani fainali ichezwe kwenye huu uchafu??
Acheni Ujinga, hakuna figisu wala nini wala hakuna sijui anayeogopa kwa Mkapa, mlishakufa mara kibao hapo hapo, Uwanja mbovu huo! Haufai
View attachment 3338993
Vipi nikupe emoji moja kuliko kujitesa hivi? Atoto? Evelyn Salt mpe lile guta la vicheko....😊😊🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukitaka kula vya wenzio lazima nawe uliwe vyako, mkubalie Makolokolo mwenzetu ili ajilie vyake....🤭Ahahahhaha 😀 😀 😀 😀