Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

Acha kupigizana kelele na watu ambao wanamaumivu zaidi ya uchungu wa kuzaa we waongope kama ukoma awo watu wanaodiliki kusema kombe la mapinduzi ni kubwa kuliko shirikisho
Hawa tunaenda nao sambamba kama muda unaruhusu usijali kaka yangu...
 
Ama kweli mkuki kwa kitimoto,kwa binadamu mmh. Tulipofanyiwa sie tulikua tunasonkolwa na masimango ya ubuntu sijui ubonto huku tarumbeta zikilia huku na kule.

Lupaso pale pale mlipokimbia kisa mazoezi ya mwisho leo mnalilia hata msipofanyia mazoezi ya mwisho mpewe mechi tu ili kuwe na uhakika wa ushindi.

Lupaso kuna nini ambacho hakipo Amani stadium!!???
 
Kama hakikuhusu huwezi jua kuna nini Lupaso...pale lupaso kuna mizimu yetu...umeridhika?
 
Basi nami sitaki unikubalie ombi langu hadi uutambue msaada wangu wa kuwa Mzalendo AKA Makolokolo SC 😏

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Tulia bwana Uto twende mdogo mdogo....nyie mkitukandia ndo huwa baraka kwetu hata kama humaaniishi huo uzalendo wako siis hatutakiiii
 
Hapana sijaridhika ule uwanja sio mali ya simba mpaka mpachike mizmu pale. Pananihusu pale maana ni uwanja wa Taifa na march 8 tulikua home ground mkakimbia
Kama hakikuhusu huwezi jua kuna nini Lupaso...pale lupaso kuna mizimu yetu...umeridhika?
 
Sawa na ww njoo niwakubalie wote....
Aaaa..wapi, sijawahi kuwa na roho za Watu wa Pwani kiasi hicho, nina wivu sana na sitakagi kuchanganywa kula mema ya duniani na Me wengine ☺️

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Tulia bwana Uto twende mdogo mdogo....nyie mkitukandia ndo huwa baraka kwetu hata kama humaaniishi huo uzalendo wako siis hatutakiiii
Nilikuwa lini Utopolo? Acha hizo bhana! Hupendi niwe Mzalendo kwa kuwa Makolokolo SC Fan?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hapana sijaridhika ule uwanja sio mali ya simba mpaka mpachike mizmu pale. Pananihusu pale maana ni uwanja wa Taifa na march 8 tulikua home ground mkakimbia
Ulikuwepo unawakimbiza?? Ulikuwepo wakati wanakimbia au ww ndo uliwakimbiza... Na walifukuzwa na nani mpk wakimbie...kuondoka ndo kukimbia...nani kakwambia lupaso ni kwa simba pekej yake...nyie kama mnaona sawa kucheza huko kwingine ni nyie sisi tunataka tulipopazoea....
Hyo ya trh 8 na leo vinauhusiano gani labda naona mada haihusiani hapa...ile ni nbc ligi hii ni Shirikisho CAF ni mpira ila figisu tofauti...
Mizimu hata ya kwenu ipo hapo labda imekufa kimataifa mka ifufue hahah
 
Wanasimba acheni roho mbaya mnataka tushindwe kuenjoy kuangalia mpira vzr sio poa

Siku mlipocheza na Al masry uwanja ulikua ni aibu kubwa sana mkafanikiwa kupita robo fainaly kwenye zile tope mkajiona wajanja kumbe Caf wanawachora tu πŸ˜ƒ

zaid mlijimaliza wenye nusu fainal kwenda kucheza znz ikaonekana kumbe ata yaje mafuriko bado boli linatembea πŸ˜ƒ

Hampaswi kuwalaumu Caf walaumuni wenye uwanja wao ambao toka 2023 unatengenezwa mpk leo hii 2025 uwanja haujamaliza matengenezo.
 
Hivi kumbe zanzibar nusu fainali ilikua inanyesha eee... 😊 😊 😊 πŸ˜†
 
Hivi kumbe zanzibar nusu fainali ilikua inanyesha eee... 😊 😊 😊 πŸ˜†
Uliza utaambiwa ile siku toka asubuh ilipiga mvua kubwa sana ikaja kusimama mchana na bado uwanja ukabak kweny hali nzur bila ya kuathiriwa na mvua
 
Hujui kitu wewe!
 
Wewe useme tu wazi kwamba uwezo wa Simba dhidi ya berkane ni sawa na mbingu na ardhi kuanzia quality ya wachezaji, intensity ya timu na vingine vingi mmezidiwa hivyo mnajua mechi ilimalizika kule Morocco hizi habari za kubagua uwanja ni visingizio ambavyo avitowasaidia chochote
 
Sauwaa makavuuu eee makavuuuulii
Mr makundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…