Dume Jembe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 707
- 774
Hakuna figisu wala nini mmebembwa sana tu lile goli halikuwa offside na penati tatu za wazi mkabebwaNianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.
Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...
Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....
##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
Nendeni Zanzibar mkazabuliwe Tena habari za ushirikina pale taifa safari hii mmekutana na mafia mmetoa milio mpaka nawaonea huruma!Sauwaa makavuuu eee makavuuuulii
Mr makundi
Ulikuwepo unawakimbiza?? Ulikuwepo wakati wanakimbia au ww ndo uliwakimbiza... Na walifukuzwa na nani mpk wakimbie...kuondoka ndo kukimbia...nani kakwambia lupaso ni kwa simba pekej yake...nyie kama mnaona sawa kucheza huko kwingine ni nyie sisi tunataka tulipopazoea....
Hyo ya trh 8 na leo vinauhusiano gani labda naona mada haihusiani hapa...ile ni nbc ligi hii ni Shirikisho CAF ni mpira ila figisu tofauti...
Mizimu hata ya kwenu ipo hapo labda imekufa kimataifa mka ifufue hahah
Aisee basi safi tunataka tubebwe mpk hapa Bongo...ili tubebeke vizuriiii....Hakuna figisu wala nini mmebembwa sana tu lile goli halikuwa offside na penati tatu za wazi mkabebwa
Kama berkane angepewa aibu kubwa mliipata dunia nzima inajua mlibebwa
Na kubwbwa kote bado mkala mkaaAisee basi safi tunataka tubebwe mpk hapa Bongo...ili tubebeke vizuriiii....
Ukibebwa bebekaaa ili hyo dunia uliyopo ww mnaojua tumebebwa basi mjue kwa uzuri zaidi...
Wao ndiyo moto mtokote mpaka muwe majivuIli huo mkaa uje umchemshie mtu huku....hapo vipi
Ipi hiyoEndelea kupiga mihayo hapo.....
Mbona mashairi marefu sana mr uto?Hovyoo kabisa .... Mpira hauendeshwi kijinga kiasi hicho... Nyie si mnajinasibu kuwa timu kubwa Afrika inakuwaje mfanyie figisu na timu ndogo kama Berkane ambayo haipo hata top 5 bora?.
Ujuaji na ujinga wa viongozi wa Tz ndio unawafanya muonekana mnaonewa... Mbona mechi dhidi ya Stellen hamkusema hiyo habari ya home ground ? Au idadi ya mashabiki ilikuwa sawa na mkapa stadium?, madrid amechokonolewa na Arsenal Berbabu na full house yake iliwasaidi?, kwahiyo hiyo full home ground advantage hamkuwanayo kipindi mnacheza Galaxy akawachoknoa hapo mnapopalilia?.
Timu bora hujilita kwenye mbinu na kuboresha uwezo wa wachezaji wake.... Hizi habari za home ground imebaki kama kitu cha ziada tena chenye msaada mdogo kma huna kikosi imara....
Vipi huyo aly Ahaly hakuwa kwenye home ground fever? Mbona alitolewa na mamelod?.
Acheni ngonjera kitimu chenu hakina uwezo zaidi ya mbeleko ndio zimewafikisha hapo.
😂😂Maniner nendeni Zanzibar naafuta yenu waarabu wana shughuli na mafuta mnayopakwa na mwamposa.Mbona mashairi marefu sana mr uto?
Kitimu chenye uwezo kipo Tanga...
tulia mpigwe nyuma na mbele DAIMA MBELE tufurahi kyee kyee kyeee!Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.
Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...
Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....
##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
Mkuu CAF wao walishatoa taarifa game inapigwa Zanzibar.So nyie wanasimba ndoo mnahangaika.Na maandalizi yanaendelea Zanzibar new Aman stadium.Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.
Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...
Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....
##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
MNATIA HURUMA HASARA YA MBUZI 12000 MLIZOFUKIA LUPASO ATAIBEBA NANIMpaka muuvunje mwiko...khaa khaaa khaaa