Habari zenu wakuu. Mko vizuri?
Nimekutana na video Instagram ya
Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti.
Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi wa Kizimkazi Festival.
Swali langu kwa wanajukwaa, hivi
Milioni 60 ni hela kubwa sana kuandaa harusi au ni kawaida sana?
View attachment 3086612
Na kwani harusi huwa kikawaida huwa inagharimu kiasi gani?
Nawasilisha 🙏🏾