Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
- Thread starter
- #21
Kuna watu wamefanya Sherehe za harusi Kwa bajeti ya milioni hadi 300
Angalia ile Harusi ya Mtoto wa Kimei yule alikuwa boss wa CRDB
Dotto Magari Kwa mawazo yangu anaweza kumudu kugharamia harusi ya Bajeti hiyo ya 60M ama zaidi Kwa kuwashirikisha Wadau
Mathalani akaenda na Makamera yake kuomba sapoti Kwa Akina Shabiby unadhani hawezi kuhaidiwa milioni 3 ama 2, akienda Kwa akina Mondi pia unaweza kuwa hivyo hivyo
Bado wale wahuni zake wa Kinondoni
Harusi kwa sehemu kubwa inakuwa financed na Wadau ila yeye binafsi hana hiyo hela
Paragraph ya mwisho umeongea kila kitu