Kizimkazi Imelipa: Hii pesa aliyoitaja Dotto Magari kuandaa harusi yake ni sahihi?


Paragraph ya mwisho umeongea kila kitu
 
Kuna watu wamefanya Sherehe za harusi Kwa bajeti ya milioni hadi 300

Angalia ile Harusi ya Mtoto wa Kimei yule alikuwa boss wa CRDB
Kwa mtu kama Kimei harusi ya 300M ni kawaiida maana Kwa nafasi yake ana connection kubwa sana anazungukwa na madon wengi
 
Hiyo kwa zama hizi kawaida sana tena ndogo labda kwa wenzangu na mimi ndio kipengele

Kwa mtu maarufu kama huyo michango tu inaweza vuka mbali kuzidi hapo bado ambacho yeye ataweka

Kuna raia michango tu anagusa 100M
Bado zake na mengineyo

Kuhusu matumizi masuala kama Ukumbi, misosi mara MC, maphotoshoot na mafootage ukiongezea na honeymoon mbona inateketea fasta
 
Ni kweli. Ni michango. Kama hiyo 60m ameitoa yeye mwenyewe. Alitakiwa asikose kama 300m kutoka kwa wadau.
 
uku zanzibar hiyo kizimkazi ilipigwa promo sio ya kawaida mabango kila mahali
no cap uyu mama huwa anatumia pesa nyingi sana kwenye upumbavu can you imagine mtu ananunua goli la simba sijui yanga mamilion ya fedha .....mwanamke mjinga uyu
Alaumiwe Magufuli kwa kuteua huo uchafu ilihali alijua yeye afya yake sio nzuri na angekata moto muda wowote.
 
Jamaa mdomo wake umemtoa
 
Unafanya harusi kubwa halafu huna hata nyumba.....wale mnaosema nyumba ni uoga siongei na Nyie,....ukwl ni mchungu ila tunakosea napenda style ya kutoka church au mlikokulia kiapo.....nendeni mahala na wanafamilia Ndugu na jamaa zako wa karibu pigeni msosi na vinywaji kata keki ....Kisha Rudi nyumbani muhangaishane na kitunguu Maji chako....ulichojipatia.......tuache kuiga Kila kitu jamani!
 
nina mteka binti wakiislamu, namtia mimba harafu na jivunga kupeleka barua hadi wata nifungisha ndoa ya mkeka wenyewe..πŸ€£πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…