Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize Tena. Je wanaijua PGO?Hiyo taarifa ya polisi naitilia mashaka,dereva mwenye kisu atake kuwaua askari 4 wenye siraha?.hapa kuna vitu vingi vimefichwa,Polisi wetu wanajulikana kwa kuficha taarifa ili kulindana.
Kwa hiyo tukiandika katiba mpya hatutakuwa na jeshi la polisi? Hawatakuwa na silaha? Hakutakuwanna vizuizi? Hakutakuwa na wahalifu?Mtoa hoja hii ni shetani na katili mno na ni hatari mno maana anatuletea familia iliyojaa ukatili,story iliyosikika hapa ni ya upande mmoja tu,dereva mwenye kisu(sina hakika nalo)ashambulie askari mwenye SMG!huu ni uongo at it's best na elewa dereva huyu amepata ajali!key witness ni abiria waliokuwepo hapo na mimi siamini kabisa story ya rpc,ndio maana nchi inahitaji KATIBA mpya maana itatuletea IPID (kama MPs wa jeshi)na kesi hii ingechunguzwa na hawa IPID,mtoa hoja hii ni mkatili mno na mpenda trigger happy policemen
Nipo Masasi hapa Mkuu kuhusu hiyo ishu wengi hawajui kabisaaa... ukweli ni kuwa hawa polisi wameficha ushahid pia jamaa ameuawa Kwa makusudi Tu na polisi kwasabb ya pesa.Hiyo taarifa ya polisi naitilia mashaka,dereva mwenye kisu atake kuwaua askari 4 wenye siraha?.hapa kuna vitu vingi vimefichwa,Polisi wetu wanajulikana kwa kuficha taarifa ili kulindana.
Mimi mwenyewe nipo huku kusini/Masasi hii ishu kumbe ni usanii wa polisi wametunga na wameiba pesa na vitu vingine.Mfano ni juzi tu polisi waliuana kule Kilimanjaro kwa visa vya magendo wakatunga uongo kuwa amekufa kwa ajali - nadhani the story went that way. Lakini walipochunguzana baada ya ndugu wa askari aliyekufa kusimama kidete wakagundua kuwa aliuawa na wenzie.
Hii story ya Lindi yapaswa ichunguzwe na upande usio na maslahi na polisi kwani kwa maelezo ya RPC ni ngumu kueleweka - story haijanyooka.
Dereva gani wa lori la cement anayebeba pesa ya kuuawa nazo? Acheni uzushi. Kama ingekuwa hivyo mauaji yangekuwa mengi sana.Nipo Masasi hapa Mkuu kuhusu hiyo ishu wengi hawajui kabisaaa... ukweli ni kuwa hawa polisi wameficha ushahid pia jamaa ameuawa Kwa makusudi Tu na polisi kwasabb ya pesa.
Dereva alikuwa pekeyake ndani ya gari na ameporwa pesa na vitu vingine vya thamani pamoja na documents za oficn kwake,huku Kwenye mitandao watu hawajui lolote zaidi kupata picha ya upande mmoja
Mambo mengine soma tu Mkuu , maana hawajui waandikayoKwa hiyo tukiandika katiba mpya hatutakuwa na jeshi la polisi? Hawatakuwa na silaha? Hakutakuwanna vizuizi? Hakutakuwa na wahalifu?
Kwahiyo unaamini kuwa Dereva alienda na kisu kuwashambulia Askari?Dereva gani wa lori la cement anayebeba pesa ya kuuawa nazo? Acheni uzushi. Kama ingekuwa hivyo mauaji yangekuwa mengi sana.
Una uhakika ana akili timamu? Kwanini hakusimama baada ya kupigwa mkono? Waliokuwa eneo la tukio ndio wanajua hali halisi. Kwanini auawe yeye na sio wengine? Kama aliamua kukimbia, kwanini hakuondoka moja kwa moja?Kwahiyo unaamini kuwa Dereva alienda na kisu kuwashambulia Askari?
Au Dereva alikuwa chizi? Kwa akili ya kawaida inawezekana vipi Dereva aende kuwashambulia Askari huku akiwa Hana hata wembe? Jiulize Kwann gari ilishambuliwa Kwa risasi?
Nilihitaji nihoji hivo sema umeniwahi. Kwa kukazia polisi wanajipotezea ushahidi wenyewe kwani tukio kama LA huyo jamaa wangeweza kumvunja hata miguu ili awasaidie katika uchunguzi zaidi. Jeshi letu linajitahidi ila maadili na taratibu za kazi yao ni kama zimesahaulika kwa baadhi yao.Kwa hiyo polisi kadhaa wenye bunduki hawawezi kumdhibiti mtu mwenye kisu kwa kumvunja hata miguu?? Ni kwa nini kila siku tunasikia tuu wameuwawa na hakuna hata siku moja tumeskia amedhibitiwa kwa kuvunjwa miguu???
Umeambiwa matairi ya gari yalipigwa risasi gari ikapoteza muelekeo sasa ulitaka aondoke moja kwa moja na makalio yako!?Una uhakika ana akili timamu? Kwanini hakusimama baada ya kupigwa mkono? Waliokuwa eneo la tukio ndio wanajua hali halisi. Kwanini auawe yeye na sio wengine? Kama aliamua kukimbia, kwanini hakuondoka moja kwa moja?
watu wengi wanaongelea mihemko au kutokujua,kisu ni silaha hatari sanahv kwel haujui km kisu n silaha hatar
Kwa hiyo masasi ndio eneo la tukio ,acha kuzungumza Mambo usiyoyajuaNipo Masasi hapa Mkuu kuhusu hiyo ishu wengi hawajui kabisaaa... ukweli ni kuwa hawa polisi wameficha ushahid pia jamaa ameuawa Kwa makusudi Tu na polisi kwasabb ya pesa.
Dereva alikuwa pekeyake ndani ya gari na ameporwa pesa na vitu vingine vya thamani pamoja na documents za oficn kwake,huku Kwenye mitandao watu hawajui lolote zaidi kupata picha ya upande mmoja
Kwanini uwavamie polisi kwa lengo la kuwapora silaha?Kwa hiyo polisi kadhaa wenye bunduki hawawezi kumdhibiti mtu mwenye kisu kwa kumvunja hata miguu?? Ni kwa nini kila siku tunasikia tuu wameuwawa na hakuna hata siku moja tumeskia amedhibitiwa kwa kuvunjwa miguu???
Mimi mwenyewe nipo huku kusini/Masasi hii ishu kumbe ni usanii wa polisi wametunga na wameiba pesa na vitu vingine.
Kumbuka haya Magari wanakuwa na Dereva pekeyake Kwanza polisi walianza kufyatua risasi Kwenye matairi mpaka gari ikahama njia na jamaa alivyoshuka akapigwa risasi