Geofre Maseta
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 881
- 1,632
Kwn kulipwa mshahara na kkkt ndo kuna mzuia kuusema ukweli?? Je , hakuna wachungaji matapeli ?? Hakuna waumuni matapeli??? Sikiliza ndg yngu, wakristo tujisahihisheKKKT inaongozwa na katiba mkuu. Ile ni taasisi kuwa muelewa. Kimaro analipwa mshahara kila mwisho wa mwezi, muajiriwa wa KKKT
Koma kbs...ila umeongea kimafumbo mkuu [emoji1][emoji1] ..kkkt kumbe ukweli kwao ni mwiko kama ilivyo kwa ccmKuna wakati inakuwa vigumu sana kuitofautisha KKKT na Chadema
Mambo ya kiutawala ulitaka yaelezwe hadharani? Hii tabia ya kushadidia mtu inazidi kuota mizizi hasa katika haya makanisa ya kiprotestant.Alionywa kwa kosa lipi?
Waliogopa tu kuwa siku akisimama kugombeya U Askofu atawabwaga wote.
...
Sisi tukikuwekea uchafu wa Malasusa hapa utaongea unachoongea chief. Mi nafikir kanisa linatakiwa lijitafakar. Kama lengo la Yesu lilikuwa ni kujenga taasisi imara au kuwafundisha Watu kuacha dhambi na kuutafuta ufalme wa Mungu.Kanisa ka Kiinjili, la Kilutheri Tanzania, KKKT ina hstoria na ni taasisi ya muda mrefu. Ina taratibu na kanuni zake , mchungaji au mtumishi atafanya mbwembwe zake zoote lakini lazima awe ndani ya utaratibu wa Kanisa...
Natamani hata Marehemu Askofu Stefano Rubeni Moshi asingeunganisha hili kanisa.Mambo ya kiutawala ulitaka yaelezwe hadharani? Hii tabia ya kushadidia mtu inazidi kuota mizizi hasa katika haya makanisa ya kiprotestant. Tumeona huko Konde na sasa Kijitonyama. Ninyi sio mliomleta hapo. Aliyemleta ana haki ya kumuondoa na kumpeleka pengine anapoona panafaa.
Hapana Ni mchakato mrefu hupita kumpata au kumpa mtu uaskofu ..Kwani huko kkkt uaskofu huwa unagombaniwa kwa kuomba kura?
Mkuu KKKT ni kubwa kuliko Malasusa.Sisi tukikuwekea uchafu wa Malasusa hapa utaongea unachoongea chief. Mi nafikir kanisa linatakiwa lijitafakar. Kama lengo la Yesu lilikuwa ni kujenga taasisi imara au kuwafundisha Watu kuacha dhambi na kuutafuta ufalme wa Mungu. Huko ulaya hiz taasisi unazoona wewe ni imara zinafungisha mpaka mashoga ndoa so ni vizur kutafakar ni au tulinde uimara wa taasisi au tuihubir kweli Watu waokolewe.
Lengo langu ni uelewe kwamba KKKT ni taasisi. Na kila taasisi inaendeshwa na taratibu zake ambazo imejiwekea. Ni simple tu kama Kimaro anaona taratibu za KKKT zinambana anauwezo wa kujitoa ili awe huru zaidi.Kwn kulipwa mshahara na kkkt ndo kuna mzuia kuusema ukweli?? Je , hakuna wachungaji matapeli ?? Hakuna waumuni matapeli??? Sikiliza ndg yngu, wakristo tujisahihishe
Tusaidie kwa kutuwekea hapa hizo clips zinazoonesha kiburi cha KimaroKuna fununu kuwa Kimaro alionywa mara kadhaa juu ya tabia yake binafsi kujiona yuko juu ya utaratubu, akakaidi, na wakati mwingine anajibu hadharani, na clips zipo.
KWA mdaduzi ameshaelewa.Sijui hata unajua umeandika nini
Hapana,Kwamba Kimaro anatumika na shetani
Sasa ikiwa ni kubwa kuliko Ask Malasusa unapaswa kuhoji nini kimetokea sio suala tu ni kubwa kuliko fulan hilo ni kukosa kufikir sawasawa. Na hilo kosa walifanya Papa pale Rome wakati wa Dr Luther limewacost mpaka leo. Tuache majibu ya jumla jumla tuwe wadadis kabla ya kuja na jibu la jumla.Mkuu KKKT ni kubwa kuliko Malasusa.
Ungesema mapema kwamba tatizo kipato binasi cha pembeni!Yesu hakuwa na kipato binafsi pembeni.
Yohana Mbatizaji vilevile, alikula asali na nzige jangwani, lakini bado alipata wafuasi wengi.
Dada angu mam....mchakato wa kumpta askofu wa kuingoza dayosi au kkkt yote siyo rais kama ulivyo elezea in a shallow way hpn [emoji847] Ni utaratibu wa vikao visito vya misioni na secretarieti ya kanisa Kisha vikao vitaanza kuwa jadilli na Sasa kura hupigwa kutoka wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo husika ,Kama Ni askofu wa jimbo ila Kama Ni askofu mkuu yaani mkuu wa kanisa bas wapiga kura siyo wachungaji Ni maskofu was majimbo na dayosis wanazoongoza nduo watashiriki ktk uchaguzi na siyo mtu au member wa kanisa nduo wapiga kuraWhat else?
okay Kuna kundi maalum au tuseme wajumbe ambao wanakuwa wamechaguliwa na vikao vyao.
Mchungaji kama Kimaro au Matsai jina likipita tu wameshinda.
Ni kama wanataka kulidhoofisha kanisa huko kasikazini
Dada angu mam....mchakato wa kumpta askofu wa kuingoza dayosi au kkkt yote siyo rais kama ulivyo elezea in a shallow way hpnNi utaratibu wa vikao visito vya misioni na secretarieti ya kanisa Kisha vikao vitaanza kuwa jadilli na Sasa kura hupigwa kutoka wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo husika ,Kama Ni askofu wa jimbo ila Kama Ni askofu mkuu yaani mkuu wa kanisa bas wapiga kura siyo wachungaji Ni maskofu was majimbo na dayosis wanazoongoza nduo watashiriki ktk uchaguzi na siyo mtu au member wa kanisa nduo wapiga kura
Kwako kygata ....@kyagata nitakutumia dcm jinsi tunavyompata askofu wa jimbo na mkuu wa kanisa anapatikanaje
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile ap
Ndo maana kuna darasa la saba A na la saba B. 🤣Dada angu mam....mchakato wa kumpta askofu wa kuingoza dayosi au kkkt yote siyo rais kama ulivyo elezea in a shallow way hpn [emoji847] Ni utaratibu wa vikao visito vya misioni na secretarieti ya kanisa Kisha vikao vitaanza kuwa jadilli na Sasa kura hupigwa kutoka wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo husika ,Kama Ni askofu wa jimbo ila Kama Ni askofu mkuu yaani mkuu wa kanisa bas wapiga kura siyo wachungaji Ni maskofu was majimbo na dayosis wanazoongoza nduo watashiriki ktk uchaguzi na siyo mtu au member wa kanisa nduo wapiga kura
Kwako kygata ....@kyagata nitakutumia dcm jinsi tunavyompata askofu wa jimbo na mkuu wa kanisa anapatikanaje
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Alionywa kwa kosa lipi?
Waliogopa tu kuwa siku akisimama kugombeya U Askofu atawabwaga wote.
Yupo huyo mkuu wa jimbo naamini ana lenga kuwa Askofu, anadhoofisha wengine nguvu.
Je mmesahau huyu mkuu wa jimbo kufikia hapo alifanya kitu gani?
Na hapa wanajiandaa kumdhoofisha pia Matsai