Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Kwa nini Mtani wakati nasikia mnadai points 6 toka kwa El Merekh ni zenu.
hayo ndo matarijio ya wanaSimba walio wengi ila mchezo una matokeo tofauti na matarajio unayoyategemea.
inshallah tupate point 12 kwa hawa tulionao karibu hapa na nchi yetu
 
Kila la Kheri Mzee Wa Lunyasi mnyama wa pekee wa mwituni anaetafuna ndala na ice cream
 
Kwa mujibu wa Babu a.k.a mnajimu mkuu bingwa Africa mashariki na kati,anasema Simba 2-As Vita 1.
Mechi hii kuna timu itapata penat.
Hii ni kwamujibu wa Babu.
 
As vita sio ile iliotupiga 5, Simba tumeimarika sasa
ukiondoa kuimalika....Simba ya mwaka huu imebadirika sana tofauti na ile ya mwanzo wa ligi,Msimu huu Simba anaingia kivingine
 
IMG_3138.jpg

Wale tulio na Canal tukutane saa 22:00
 
Nguvu moja.......
 

Attachments

  • 20210212_203520.jpg
    20210212_203520.jpg
    38.3 KB · Views: 1
  • 20210212_203502.jpg
    20210212_203502.jpg
    26.8 KB · Views: 1
Leo naamini Vita anashinda si chini ya goli tatu! Over.
 
Leo simba anaenda kutia aibu bendera yetu na wimbo wa taifa, naiomba serikali iwazuie simba kutumia nembo za nchi wakiwa mechi za ugenini

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mtu anapigwa goli 5 alafu kwenye jezi ameandika visit Tanzania hakika hawa jamaa wamedhamilia kuiabisha nchi kimataifa
 
Back
Top Bottom